Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
haraka hivyo amekuwa kada wa ccm? Sema aliyewahi kuwa kada wa chadema utaeleweka vema
 
Upendo peneza airtime yake imeshaisha sanhizi yupo anapelekewa omoto

Sasa ni zamu ya msigwa kupata airtime ya mda kabla kabla hajatulia na kuanza kuimba nyimbo za anaupiga mwingingi

Jamaa alikua anaona wivu jinsi lissu anavyozunguka na yeye katamani, anadhani garama za kukusanya watu wa ccm wajae kwenye mkutano wake ni ndogo?
 
Chadema wasimjibu msaliti huyo wamuache usaliti uchukue nafasi yake. Bora akae kimya asubiri uteuzi huko ccm apate ulaji maisha yake ya siasa za kinafiki yaendelee
 
Hakuna watu wanafiki kama wanasiasa
Kwa mwaka anaweza kuongelea kitu kimoja ila tofauti zake mia

Wao wanaona ni sawa tu kwa sababu ndio sehemu wanapotafutia riziki iwe halali au haramu, ingawa haramu ni nyingi zaidi

Wapunguze unafiki, kuna wakati wanasiasa huwa wanazira wakiachika kwa hiyo tunaelewa
 
Laana ya kumtukana Magufuli itawatafuna Chadema
 
Siasa Tamu Sana
 
kunq haja serikali itafute watu watakaozunguka nchi nzima kutukumbusha kama raia tunakwama wapi na nini mtu mmoja mmoja afanye kutoka hapo alipokwama.

Mheshimiwa mchungaji hata sura yake kwa sasa naona imepoteza mvuto, nuru na uangavu. Kuna haja ya yeye kuzunguka kuelezea mazuri ya alikohamia na sio ubaya wa alikotoka maana hiyo kazi imeshafanywa vizuri na watangulizi wake.
 
Kayasema haya!
Naona umeweka 'credit' kabisa ya alipo yasemea.

Naona muujiza unakuja kutokea Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa.

Hata "MAITI" wataanza kufufuka kwa mwendo huu!

Aliyewaita waTanzania 'MAITI' atakuja kujuta sana.
 
Hii nchi ukikaa kweny kivuli umetuliq na kupata maji makubwa ....huku ukitafakari utagundua hivi vyama viliwi vinajuana kindak ndaki na vipo hapo kuwapumbaza wananchi
 
wengi wa viongozi wa chadema waliwahi kusema hayati lowassa ni fisadi na baadaye wakabadili kauli, unadhani kuna tofauti na anachokisema mchungaji?
 
Sawa kwahiyo mama abdul kamjazia full tank, walikwepo wakapita naye viyohvyo
 
ngoja aanze kuzunguka clips zake zote tutaziweka hewani
 
Kiukweli msigwa kachemsha.
 
..Msigwa atazunguka nchi nzima kueleza uongo wake, au uongo wa Chadema?
Ni Msigwa yule yule aliyekuwa anagombea uenyekiti wa kanda ya Nyasa? Afadhali hawakumchagua!! Nashindwa kupata picha ingekuwaje mwenyekiti ndani ya chama kinacho simamia asiyo yaamini. Chama kinachodanganya Watanzania!! Ama kweli kama kuna watu watamsikiliza nitaamini kuwa aliyewaloga alishakufa!!
 
Kila la kheri Msigwa lakini ongea ukweli sio Propaganda za CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…