Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Nitazunguka Nchi nzima kuelezea Uongo wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
Mwambie asithubutu kabisa. Aachane na hayo mambo ya kuchafuana.
Yeye akae kwa kutulia apate uteuzi aiwezeshe familia yake.
CCM hawapendagi kabisa wenye viherehere
 
CCM inaazima Mamluki, wameisha hawana pa kushika mara Makonda,mara Makalla na sasa wanajaribu kukodi mamluki akina Pendo na Msigwa. Kwa kweli ccm amekwisha. hata akizunguka hana jipya zaidi ya vituhuma dhidi ya Mbowe,wacha atafune pesa ya walipa kodi kupitia ccm naye kwa sasa ni chawa na badhirifu tu kama wengine. wananchi siyo wale wa zamani. atapoteza muda
 
atakavyo amua........

..wiki iliyopita Msigwa alikuwa anawaambia wananchi Ccm imewapelekea umasikini, leo anataka kugeuza kauli yake?

..Je, Msigwa atakwenda kuwashawishi wananchi kwamba umasikini wao umesababishwa na Mbowe au Chadema?

..Huyu bwana amepotoka. Msigwa alipaswa kutafuta chama kitakachompa platform ya kusema yale aliyokuwa akisema alipokuwa Chadema. Sio chama kitakachomlazimisha ayakane yote aliyoyaamini na kuyasema kwa miaka 20+ na yakampa umaarufu, na uongozi.
 
Uongo wake au wa CHADEMA?
Huyu jamaa mtu akikusanya clips zote alizosema kuhusu CCM wakati akiwa CHADEMA unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti. Aliwahi kusema siku akienda CCM, watu wachome nyumba yake. Aliwahi kusema CCM ni akili ndogo na katu hawawezi kuleta maendeleo. Ni mengi sana, nashangaa hata huko CCM wanawezaje kukaa naye hata dakika tano.
Shetani akizeeka hujifanya malaika.
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
Atajisambaratisha yeye, hakuna wa kumuamini.
Kondoo wake hawamuamini sembuse wasio kondoo.
 
Uongo wake au wa CHADEMA?
Huyu jamaa mtu akikusanya clips zote alizosema kuhusu CCM wakati akiwa CHADEMA unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti. Aliwahi kusema siku akienda CCM, watu wachome nyumba yake. Aliwahi kusema CCM ni akili ndogo na katu hawawezi kuleta maendeleo. Ni mengi sana, nashangaa hata huko CCM wanawezaje kukaa naye hata dakika tano.
Ccm kazi yao ni kuchukua takataka(rubbish) wa upinzani waweke kwenye dustbin
 
Kada wa CCM mchungaji Msigwa amesema atazunguka nchi nzima kuelezea uwongo na ulaghai wa Chadema

Msigwa ameomba awezeshwe Ili aungane na Wanaccm wenzake kuisambalatisha Chadema

Credit Jambo TV

My take; JK aliwahi kusema Chadema ni Kiwanda cha Uwongo
ni bora akae kimya tu kuliko kutenda dhambi hiyo ya kusaliti wenzake waliokuwa pamoja wakifanya uongo huo. Usaliti haujawahi kumuacha mtu salama
 
Back
Top Bottom