johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.Amuombe radhi aliyenunuliwa kreti 4!
CDM tena?!?Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.
Mhhh, makubwa!Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.
Roho zinawauma CCMAmuombe radhi aliyenunuliwa kreti 4!
Ndiyo Ukweli WenyeweRoho zinawauma ccm
Una maana lisu alipotuhumu kuwepo kwa rushwa na pesa kumwagwa kama njugu alikuwa anasema uongo?Uchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.
Anaeumwa na roho ni yule aliyeshindwa!Roho zinawauma CCM
Msigwa Yuko vizuri hata hivyoPolitical maturity
Huu mfumo aliupenda JK unakuwa na vibaraka humo humo Ndani ya Vyama Vya Upinzani na siyo kuwaungisha JuhudiUchaguzi wa aina hii umeiheshimisha sana cdm. Ule ushenzi unaondelea kwenye zile chaguzi za chama chenu, na chaguzi za nchi zimeingia aibu kubwa. Hii ndio demokrasia tunayoitaka.