Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kahamia ccm, ajiandae kupata udc au ulaji mwingine serikalini au kwenye chama chake kipya
 
Bora vijana waamke kivyao kupambania haki na ustawi wa wananchi kuliko kutegemea wanasiasa. Wanasiasa hawaaminiki, wanabadilika kulingana na maslahi yao binafsi
 
Zironga mbali zitenda mbali wazaramo shikamooni wahehe na warangi marahaba (nyoko)
 
Back
Top Bottom