Pre GE2025Mchungaji Msigwa: Sikuingia CHADEMA kutafuta Vyeo bali Kuwatumikia Wananchi, nitaendelea kukitumikia chama Katika Jimbo lolote mtakalonihitaji!
tayari msigwa kahamia ccm, wakagawane jimbo na jesca au mmoja amuachie mwenzake na mmoja ale shavu serikalini au ndani ya chama maisha ya kisiasa yaende
Bora vijana waamke kivyao kupambania haki na ustawi wa wananchi kuliko kutegemea wanasiasa. Wanasiasa hawaaminiki, wanabadilika kulingana na maslahi yao binafsi