Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia


Acha kutumiwa na CCM, nawe elewa mambo ya Familia hayamalizwi kwenye JF. Namba yake ya simu unayo kwanini uandike hapa , hata kama limekukera.

Hata mimi leo nimekwazana na ndugu yangu, nimempigia simu na tumeyamaliza bila wewe kujua.

Msigwa kakubali kuwa kuna mahusiano ya kindugu na Magufuli, lakini mambo ya kifamilia anapenda yaishie katika Familia.

Hivyo msubiri huko Iringa au mfuate Dar mkamaliziane.

Angalizo: Usirudi tena hapa JF kwa swala la Kifamilia. Jifunze kitu katika hili.
 
Kuna siku utaaibika sana kama mlivyoaabika kwa Lowassa, Mashinji, na Sumaye na ni mwaka huu huu!!

Tafuta kwenye post zangu kama kuna mahali popote nimewahi kuwasifia Lowassa, Sumaye ama Mashinji, ukipapata nipigwe ban ya maisha. Au unadhani mimi ni bendera fuata upepo?
 
Msigwa hakufungwa kwa makosa ya familia Bali alifungwa kwa makosa ya CHADEMA (Kama yapo) hivyo michango yenu mngepeleka chamani Tena kimya.
Kwani Pole pole ni mwanafamilia hadi atumwe yeye ilhali kaka wa mhusika alikuwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao Watu wamehukumiwa kwa pamoja kama kikundi nyie mnaenda kumtoa tu ndugu yenu mmoja, hao wengine wabaki gerezani ili iweje?.

Mngefanya cha maana kama mngekaa tu kimya, au mngechangisha pesa za kutosha kuwatoa yeye na wenzake, au mngemshawishi 'ndugu' yenu yule awapunguzie wote adhabu.
 
Ni laana hiyo. Daini mahakama pesa yenu mkaifanyie kazi nyingine za kifamilia. Na kama ni kweli hakukuwa na double payment basi Msigwa atarudishwa jela hadi yeye au chama chake kilipe hiyo pesa.
 
Wee Luvanda, mbona umeamua kujidhalilisha hivi? Ungekuwa na busara kidogo tu, ungekaa kimya, kuliko haya uliyoandika! Pole sana. Jaribu mbinu nyingine hapa 'mmebugi'!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kamlaani kwenu lumumba

In God we Trust
 
Katika pumba za kujikomba zilizowahi kurepotiwa hapa ubaoni mwaka huu,hii inaongoza. Usichokijua Msigwa anajitambua,sio kama wewe. Bila aibu eti unamuongelea mwenzio eti kumsitiri akifa. Uje umuache uone kama hatasitiliwa. Hata hizo hela mlizochanga,ni za kujipendekeza tu baada ya kuona,NGUVU YA UMMA INAENDA KUWAZIDI NGUVU TENA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na akili zako za roho mbaya na ukizeeka lazima uwe mchawi wewe
Anafikiri Chadema ni ndugu zake zaidi ngoja baadae waanze kumwita msaliti....!

In God we Trust
 
Asante sana Mkuu. Ubarikiwe na Bwana. Umefikiri na kutumia busara ya hali ya juu kumuelewesha huyu pandikizi anaejiita mwanafamilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabugi tu huyu Mwagito. Labda naye anajisafisha kwa magu aonekane ni wa busara zaidi ya nduguye. Pole mwagito. Ukikua utaelewa umekosea wapi be. Swela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…