Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

Kama mlimwomba Mwanafamilia mwenzenu Ndg John Joseph Magufuli sasa Polepole ameingiaje kwenye familia ya Msigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mtayazungumza kwenye vikao vyenu vya familia, tuache kidogo tutafakari janga la corona.
 
Ndugu zake Peter Msigwa ni sisi tuliomchangia mia mia zetu.....

Hiyo michango ya familia yenu mkaidai huko mlikoipeleka kama hawajawashukuru.....[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafosi undugu hahaha
Pesa zako zinanuka

Hili la Mch. Msigwa linatuonyesha kuwa taasisi ya urais imevamiwa na watu wasiokuwa na weledi. Kuna watu wanajituma kumsaidia na kumjenga JPM kama mtu lakini hawajui kuwa wanaidhalilisha taasisi ya urais. Kwa hali ya kawaida ni vigumu kuamini kuwa ndugu zake Mch. Msigwa walikaa na kuibua wazo la kuiingiza taasisi hii kwenye sakata la kuwalipia wahalifu faini. Sana sana mambo yamekuwa magumu kiasi hicho basi wa kuhusishwa ni JPM binafsi tena kimya kimya au kwa Ikibidi kuwa hivyo basi jambo lenyewe hilo lingefanyika kimya kimya au pengine kupitia Katibu Myeka. Hatua za haraka na madhubuti zinahitajika kunusuru hadhi ya taasisi ya urais.
 
Taifa la wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu vyote ulivyo andika nimebaini ujinga kichwan mwako na hasa kwa kuamini kwamba wewe utamzika mch.msingwa utadhan una hakika yeye atatangulia kabla yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…