20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Sifatiliagi sana haya mambo ya siasa. Ila ukiona mtu anazungumza ili ajibiwe yawezekanaMchungaji Msigwa amelalamika ukimya wa Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika na Msaidizi wake mh Kigaila kutojitokeza na kujibu Hoja zake
Msigwa amesema anapopanda jukwaani na Chama chake kipya na kurusha makombora huwa anasuniria mrejesho kutoka kwa Mnyika na Benson Kigaila lakini anashangaa wako kimyaaaa kana kwamba hawamfuatilii
Credit: Mwanahalisi Digital
1. Drama king.
2. Kuna jambo lina msumbua anataka justification.
3. Anataka umuhim wake kwa hao anao wafanyia kazi uonekane endelevu, so yeye aonekane silaha ya muhimu.
4. Kuna majuto na aliko toka.
5. Hana lengo maalum ya kuzungumza zaidi ya dialogue zisizo na uelekeo.
BTW Wanasiasa wamaeacha kuanglia maslahi ya wananchi bali ya chama. Why uzunguke nchi kuongelea chama badala ya mambo ya msingi ktk nchi??