The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
..Hakuna chama cha siasa kilichoanzishwa baada ya 1993 tulipoingia ktk vyama vingi chenye sura ya kitaifa kuliko Chadema.
..Mwenyekiti wa pili wa Chadema alikuwa Mohamed " Bob " Makani. Mwenyeji au Msukuma wa Shinyanga.
..Na Chadema imesambaa Tanganyika nzima. Na kuna maeneo yana nguvu kuliko mkoa wa Kilimanjaro.
..Ccm kwa kiasi kikubwa imewezeshwa na dola na serikali. Ndio sababu ya kuwa imesambaa nchi nzima na kuwa na sura ya " kitaifa. "
Kwa ujumla Msigwa ni SELL OUT .... Haiwezekani ukazungumzia Ufisadi wa CDM halafu ukabariki Ufisadi ndani ya CCM na Serikali. CAG kila mwaka anakuja na report chafu .... jamaa wanafunika mafaili watu wanahamishwa kila siku kulindana.
Kwa ujumla hana sababu ya maana ya kumtoa CDM kwenda CCM ....!!