Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sifatiliagi sana haya mambo ya siasa. Ila ukiona mtu anazungumza ili ajibiwe yawezekana

1. Drama king.
2. Kuna jambo lina msumbua anataka justification.
3. Anataka umuhim wake kwa hao anao wafanyia kazi uonekane endelevu, so yeye aonekane silaha ya muhimu.
4. Kuna majuto na aliko toka.
5. Hana lengo maalum ya kuzungumza zaidi ya dialogue zisizo na uelekeo.

BTW Wanasiasa wamaeacha kuanglia maslahi ya wananchi bali ya chama. Why uzunguke nchi kuongelea chama badala ya mambo ya msingi ktk nchi??
 
Wajibu ukweli au wathibitishe?
 
Kwani ni lazima kumkimbiza kichaa aliyeiba nguo zako wakati unaoga?
 
Kuna picha uko humu, amebebeshwa picha,anaonekana amejaa hofu,simanzi na majuto.
 
Ukivuliwa taulo na Chizi ukaanza kumkimbiza wote mtaonekana machizi

Jibu la mjinga ni kukaa kimya tu
 
kwenye siasa kibaya na kizuri hutegemea na wakati tu, the late lowassa alitukanwa na chadema lakini pia alikuja kuwa mgombea wao urais.
 
Chadema wasimjibu msigwa kwa lolote, ataaibika mwenyewe. CCM wenye akili wanamfanya kikaragosi chao majukwaani. Unadhani CCM wamesahau kuwa Msigwa alikuwa akikitukana chama cha mapinduzi na viongozi wake akiwa CHADEMA? Kichaa haponi bhanawee!!
 
Msigwa sema yote
 
Akiendelea kuitungua CDM basi 'Karma' itamuhukumu....
Pascal Mayalla
 

Nipashe leo wanadai zaidi ya 1 trillion imetolewa Bot.... CCM wako kazini. Eti CCM ni bora kuliko CDM.... Huyo mtu atakuwa na hitilafu upstairs.
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
..Hakuna chama cha siasa kilichoanzishwa baada ya 1993 tulipoingia ktk vyama vingi chenye sura ya kitaifa kuliko Chadema.

..Mwenyekiti wa pili wa Chadema alikuwa Mohamed " Bob " Makani. Mwenyeji au Msukuma wa Shinyanga.

..Na Chadema imesambaa Tanganyika nzima. Na kuna maeneo yana nguvu kuliko mkoa wa Kilimanjaro.

..Ccm kwa kiasi kikubwa imewezeshwa na dola na serikali. Ndio sababu ya kuwa imesambaa nchi nzima na kuwa na sura ya " kitaifa. "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…