Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
Kama umeanza uongo hivi!Bob Makani anakusabahi huko alipo.
 
Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu kama Msigwa.
 
WanaSihasa Kumbe husema uongo mwingi !
Akiwa huku anaponda kule kisha akihamia kule anaanza kuponda huku !!😳

Munatukomfyuzi kisha tunawaona nyie bure kabisa 🙄🤦🏽‍♂️
 
WanaSihasa Kumbe husema uongo mwingi !
Akiwa huku anaponda kule kisha akihamia kule anaanza kuponda huku !!😳

Munatukomfyuzi kisha tunawaona nyie bure kabisa 🙄🤦🏽‍♂️
Ni mpumbavu pekee anaweza kumwamini mwanasiasa kama huyu,
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
Kwahiyo sida hapo ni Uchaga?
 
Msigwa amejinyea, badala ajihifadhi asinuke mavi mbele ya watu, yeye ndio kwanza anajipitisha.
Huko anako jikomba wanamuangalia tu hata wao wanajua Msigwa Ni Kama mke aliyeachika/single mother ambaye sio mtu wa kuaminika.
Mke aliyeachika! Lakini anapaka, yaani hata breki hana. Maana huku si kukivua nguo chama bali ni kuparua mpaka na ngozi kabisa. Duuu! kijana hafai kabisa.
Vitambaa vya kuwa futa machozi vitakwisha. Hurumaaaaaaa!
 
Jamaa kapokewa vizuri, MARA hii ana ULINZI!! 😳
 
Sipati picha endapo CHADEMA ikachukua nchi, au hata kuwa kwenye serikali ya mseto, mara Paaaa! Mbowe waziri mkuu, sijui Msigwa atajificha wapi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Walau bado anamheshimu mwenyekiti wa chama chake cha zamani kwa kumuadress "Mheshimiwa"

Wampe Ubunge wamchape na uwaziri wa maliasili kwa muda huu uliobaki.
 
Sipati picha endapo CHADEMA ikachukua nchi, au hata kuwa kwenye serikali ya mseto, mara Paaaa! Mbowe waziri mkuu, sijui Msigwa atajificha wapi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndoto yako haina uhalali wa kutwa. Muda bado haijafika
 
Naamini CCM sio wajinga! Wanamcheki tuu msigwa. Ntawashangaa CCM kumoa cheo uyo chizi mkaacha makada wetu walikua na chama muda wote. Msigwa yupo CCM kwa ajili ya cheo tuu si kingine.
 
safari hii siasa ni ya Msigwa na madongo yake badala ya sera. Bure kabisa hili jamaa
 
Mimi ukweli nimewapenda Covid 19 kwa kitoisema Chadema. Pamoja na maovu yao ilo wamefanya Busara wafikirieni.
 
Walau bado anamheshimu mwenyekiti wa chama chake cha zamani kwa kumuadress "Mheshimiwa"

Wampe Ubunge wamchape na uwaziri wa maliasili kwa muda huu uliobaki.
Anapewa uwaziri kwenye nafasi iliyo wazi.
Hongera yake.
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
Usafi wake uko wapi hapa? Mbinu wanazotumia Museveni, Kagame na CCM kubaki madarakani ni zilezile kabisaaaaaa! Msigwa ni wa kupuuzwa, hana hoja ni njaa TU.

View: https://youtu.be/nHCBANX3qVM?si=hYvRg_Ar9VI7KnMR
 
eeeh. hii lini tena? Aisee unaweza kuamka ukakuta Tanzania haipo na huna habari.
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa
Humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…