Pre GE2025 Mchungaji Msingwa anainajisi Siasa za Demokrasia, CCM ni safi kuliko CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kwa ujumla Msigwa ni SELL OUT .... Haiwezekani ukazungumzia Ufisadi wa CDM halafu ukabariki Ufisadi ndani ya CCM na Serikali. CAG kila mwaka anakuja na report chafu .... jamaa wanafunika mafaili watu wanahamishwa kila siku kulindana.

Kwa ujumla hana sababu ya maana ya kumtoa CDM kwenda CCM ....!!
 
ukijamba kwa hasira utajinyea
 

imhotep Ile foundation yetu si ndiyo hii ?
 
Ccm ni Safi kuliko Chadema..
Ccm ni mkusanyiko wa watu wa makabila yote na dini zote...

Chadema imewahi hata kuwa na Mwenyekiti ambae sio mchaga au Mweka hazina sio mchaga?..

Ccm ina mapungufu yake lakini angalau ni chama cha kitaifa

Dhu .... Hii sikuitegemea itoke kwa senior Member kama wewe .... Ingetolewa na Members wa miaka ya 2010 na kuendelea walau ningeewa kwa kuwa Usajili wa Lumumba ndiyo ulipoanza.

Kuweka record sawa, CDM kimeshakuwa na Wenyeviti watatu .... Mtei (Mchaga), Bob Makani (Msukuma) na Mbowe (Mchaga). Kimekuwa na Makatibu wakuu kadhaa; Bob Mkani (Msukuma), Dr. Kaboru (Mkigoma), Dr. Silaa (M), Dr. Madhinji (Msukuma) na Mnyika (Mapare).

Mnyonge mnyongeni. Mbowe ndiye aliyekikomaza hicho chama .... Kiasi kwamba nina wasiwasi kama hata Lissu pamoja na ukeleketwa wake kama ataweza kukiendeleza bila vurugu au mpasuko wa kufa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…