Hata wanyama wanaweza kua na busara katika maamuzi ila mtikila anashangaa wanaomshabikia EL ambaye ni mwizi na kwa uchafu alioufanya nchi hii kama ingalikua ni China angeshanyongwa muda mrefu sana,Awataka watanzania waache ushabiki.
Anaenda mbali zaidi alipozungumzia afya ya EL na kusema maradhi alionayo yanaathiri kichwani.
Kuhusu taarifa za tafiti zilizofanywa na TWAWEZA mtikila anamshukuru Mungu kwani wanomuunga mkono EL fisadi ni wachache.
Anaendambali kwakusema watu wanaomshabikia EL wanautahaira nusu(epedomia) anasisitiza watanzania tuwe makini na huyu fisadi.
Anasema ukiachilia mbali matatizo yao ni afadhali ya Magufuli awe raisi wa nchi.
Mfano anatoa mfano wa afya zao EL ni mgonjwa na hatuwezi geuza Ikulu kua ICU ya wagonjwa.Na anasema mficha maradhi mauti humuumbua na anasisitiza EL angejikita kwenye afya yake kwanza.
Anakumbusha wizi wa EL ambao alituongopea akaahidi kwenda kutununulia mvua na kutumia pesa nying na hatimae mvua yakununua ikawa ni uongo mtupu.