Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.

Kama wewe ni amiri jeshi mkuu, watanzania wanauawa na umekubali kusifiwa kila kitu umefanya wewe, na waliouawa umefanya wewe. Yeyote aliyeuawa kwenye utawala wako, wewe pia umehusika. Tuache kusifia kijina, yeye mwenyewe anapenda sifa za kijinga.

4R hazijafanya kazi, ni kama panya anavyotaka kung'ata anapuliza.
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
Hizi salaam zimfikie Samia The Killer na squad yake ya majambazi.
 
Hehehe hata mzee wa upako naye akasema japo indirect🤣, assume wewe ni Makamu wa rais "Isdori" ni mkatoriki...unaenda kanisani kusali asubuhi..unakuta Kanisa lako limepigwa utepe..usiabudu...utajisikiaje. au uwe IGP wambura au CDF unaenda kumuomba Mungu wako akupungizie madhambi unafika unakuta wamefunga utepe...unajisikiaje??... Ni wajinga pekee ndio Wanaweza funga utepe Kanisa😄😄😄
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
#NO REFORMS NO ELECTION.
 
Huyu dada ajengewe sanamu kila ilipo ofisi ya serikali ya kijiji au mtaa ndani ya Tanganyika.
NO REFORMS NO ELECTION.
 
mimi sijaona kosa la waumini wa gwajima kuadhibiwa kwa sababu gwajima mmoja tu amekemea utekaji na mauaji. kosa la gwajima lipo wapi? basi tuseme amekosea, sasa kosa la waumini wake liko wapi hadi wazuiwe kufanya haki yao ya kikatiba ya kuabudu? muumini aliyepo mwanza, anazuiwa kuabudu ambayo ni haki ya kikatiba, yeye hajahubiri siasa wala chochote, anaadhibiwa kwa kosa lipi sasa? kwanini tunaatack makanisa na sio watu ambao nao lazima wapelekwe kwenye vyombo vya sheria?

1. gwajima kabla ya kuadhibiwa alipewa haki ya kusikilizwa?

2. ufufuo na uzima kabla ya kufutwa usajili walipewa haki ya kusikilizwa?'

3. kukemea utekaji na uuaji ni kosa?

4. Je? Tanzania hakuna watu wanatekwa na kuuawa?

5. Mdude, soka, kibao, na wengine wengi, hawajatekwa na kuuawa wengine?

mwenye jibu aniambie.
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
Tuone sasa kama ataweza kutuua Wakristo wote Tanzania; NO REFORMS NO ELECTION
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
Ata atakua ktk kanisa la faragha pale🤣🤸
 
Dah!
Sema mama.

Huyu Samia amekuwa kiongozi wa ajabu sana. Ndani ya nchi yake watu wanapotezwa, kutekwa na wengine kuuawa, yeye hasikii, haoni chochote!
Anachohimiza yeye ni kusifiwa tu basi.

Sasa anajiandaa kubaki madarakani kwa kumwaga damu ya waTanzania, na bado atadai haoni wala hasikii chochote kilicho haribika.
Huyu ni mtu kiongozi kweli, au ni Jini?
 
Back
Top Bottom