Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

#NO REFORMS NO ELECTION.
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Huo ni ukweli mchungu
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
 
Huyu mama siku ameenda mbinguni atachomwa moto mkali kuliko moto wowote mkali waliochomwa madikteta duniani kama Adolf Hitler na Mussolini.
 
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
No reforms -No election
 
View attachment 3359838Viongozi tunapowachagua tunakuwa tumechagua watu wa kututumikia, hatukuchagua miungu wa kuwapigia magoti. Leo kila siku watanzania wanatekwa, kila siku watanzania wanakufa halafu juzi nimemsikia mama Samia anasema mimi jamani wakiwauliza huko, mkiwasikia wanasema waambieni sijaua mtu.

Yeye ndiye amiri jeshi mkuu, na sifa zote wanazompa kila kitu kafanya yeye, hata wanaotekwa na kuuawa kafanya yeye na nina ujasiri wa kusema hivyo.
Dah,
Huyu mama ameweka wazi zaidi kuliko Gwajima.
NO REFORMS NO ELECTION
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa mama D
 
mimi sijaona kosa la waumini wa gwajima kuadhibiwa kwa sababu gwajima mmoja tu amekemea utekaji na mauaji. kosa la gwajima lipo wapi? basi tuseme amekosea, sasa kosa la waumini wake liko wapi hadi wazuiwe kufanya haki yao ya kikatiba ya kuabudu? muumini aliyepo mwanza, anazuiwa kuabudu ambayo ni haki ya kikatiba, yeye hajahubiri siasa wala chochote, anaadhibiwa kwa kosa lipi sasa? kwanini tunaatack makanisa na sio watu ambao nao lazima wapelekwe kwenye vyombo vya sheria?

1. gwajima kabla ya kuadhibiwa alipewa haki ya kusikilizwa?

2. ufufuo na uzima kabla ya kufutwa usajili walipewa haki ya kusikilizwa?'

3. kukemea utekaji na uuaji ni kosa?

4. Je? Tanzania hakuna watu wanatekwa na kuuawa?

5. Mdude, soka, kibao, na wengine wengi, hawajatekwa na kuuawa wengine?

mwenye jibu aniambie.
Kosa lao kwanini washangilie na kumpa mizuka pastor gwajima
 
Hakuna atakaye kupa majibu zaidi machawa watasema alikuwa anachanganya siasa na dini😂😂😂
 
mimi sijaona kosa la waumini wa gwajima kuadhibiwa kwa sababu gwajima mmoja tu amekemea utekaji na mauaji. kosa la gwajima lipo wapi? basi tuseme amekosea, sasa kosa la waumini wake liko wapi hadi wazuiwe kufanya haki yao ya kikatiba ya kuabudu? muumini aliyepo mwanza, anazuiwa kuabudu ambayo ni haki ya kikatiba, yeye hajahubiri siasa wala chochote, anaadhibiwa kwa kosa lipi sasa? kwanini tunaatack makanisa na sio watu ambao nao lazima wapelekwe kwenye vyombo vya sheria?

1. gwajima kabla ya kuadhibiwa alipewa haki ya kusikilizwa?

2. ufufuo na uzima kabla ya kufutwa usajili walipewa haki ya kusikilizwa?'

3. kukemea utekaji na uuaji ni kosa?

4. Je? Tanzania hakuna watu wanatekwa na kuuawa?

5. Mdude, soka, kibao, na wengine wengi, hawajatekwa na kuuawa wengine?

mwenye jibu aniambie.
Akili za mamayenu zipo mk****ni
 
Uzidi kubarikiwa mama kwa kuongea ukweli na kusimamia haki. Mama hajapindisha amelenga kwenye mshono. Nimempenda sana kwa ujasiri wake.
 
Back
Top Bottom