Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

#NO REFORMS NO ELECTION.
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Huo ni ukweli mchungu
 
Huyu mama siku ameenda mbinguni atachomwa moto mkali kuliko moto wowote mkali waliochomwa madikteta duniani kama Adolf Hitler na Mussolini.
 
No reforms -No election
 
Dah,
Huyu mama ameweka wazi zaidi kuliko Gwajima.
NO REFORMS NO ELECTION
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa mama D
 
Kosa lao kwanini washangilie na kumpa mizuka pastor gwajima
 
Hakuna atakaye kupa majibu zaidi machawa watasema alikuwa anachanganya siasa na dini😂😂😂
 
Akili za mamayenu zipo mk****ni
 
Uzidi kubarikiwa mama kwa kuongea ukweli na kusimamia haki. Mama hajapindisha amelenga kwenye mshono. Nimempenda sana kwa ujasiri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…