Mchungaji mwingine aibuka, asema Rais Samia hawezi kukwepa lawama za wanaouawa na kutekwa

Mungu akutie nguvu ya kupambana Mtumishi...km kweli umeamua kuingia kwenye game muombe Sana Mungu akutangulie....maana vita vyetu sasa si vya kiroho Bali ni vya damu na nyama.
 
Sijui mpaka sasa ameshaua ,"SISIMIZI" wangapi?

Halafu na wale "KENGE" sijui wanaendeleaje?

Maana kama kenge anaweza kufananishwa na mtu, hata sisimizi pia inawezekana vilevile.

Ila wanawake wa Kizanzibari ni wakatili sijawahi kuona wallah!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mtasema mengi,mtasema sana. CCM na SAMIA ni washindi tayari. No reform No Election isubiri 2030.
 
Huyu Samia amekuwa kiongozi wa ajabu sana. Ndani ya nchi yake watu wanapotezwa, kutekwa na wengine kuuawa, yeye hasikii, haoni chochote!
Anachohimiza yeye ni kusifiwa tu basi.
Ambacho unatajiwa ujue ni kwamba, huo Ndio msimamo wa Chama chini ya uenyekiti wake.
 
Yeye Samia ndiye mtekaji, na muuaji wa watu wasio na hatia, Kikwete pia anahusika kwa kiasi kikubwa, kwani wakati wa Kikwete ndiyo haya mambo ya kuwaokota watu kwenye Sandarusi yalianza, na akina Mwigulu Madelu Nchemba akawa anahusika kuficha. Ninyi JF ni waoga na mnatetea wauaji kwa sababu mmepewa cheo na Samia (Huyo mkubwa wenu ) Kwanini mnaogopa kukemea? Mnaona yanayotendeka ni sahihi?
 
Sifa ya kiongozi ni kuungisha watu kipindi ambacho kuna hali ya sintofahamu. Samia hii kazi imemshinda anatuharibia taifa letu na kugawanya watu.
 
Mtasema mengi,mtasema sana. CCM na SAMIA ni washindi tayari. No reform No Election isubiri 2030.
Kama ana nguvu aruhusu uchaguzi huru na wa haki kama alivyosema tuone kama atashinda? Ana wasiwasi gani? Si mnasema anapendwa? No reform no election. Akimuona Lissu anajiharishia
 
Ni hivi, mwenye mdomo wake hanyamazishwi, ni vyema waache wateme nyongo bila kutekwa, wananchi wenyewe watawapuuza tu

Endapo dawa itakuwa ni kuwapoteza, basi mnasababisha chuki mara mia zaidi

No reforms no election
 
Mwenye majibu murua ya hoja zako ni lile gasho Lucas Mwashambwa!
 
Ambacho unatajiwa ujue ni kwamba, huo Ndio msimamo wa Chama chini ya uenyekiti wake.
Kamwe siamini hata mara moja kuwa "huo ndio musimamo wa chama..."
Chama cha CCM hakiwezi kuwa na msimamo wa aina hiyo, pamoja na ubovu mkubwa uliokikumba chama hicho.

Huu ni msimamo wa Samia Suluhu Hassan mwenyewe, akishirikiana na Genge linalofanya unyama huu kwa sababu maalum ya kumbakisha Samia madarakani kwa nguvu. Chama kimetekwa na jina lake kutumiwa kufanya maovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…