Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Bikra ya mbwaManeno haya sio mageni jijini labda uwe mgeni wa jiji, ni pastor mwenyewe kafunguka kwa kusema....
"Niliolewa nikiwa bado bikira, niliolewa nikiwa msafi sikuwa mchafu".
Wana familia wa New day tujuane hapa.View attachment 3172979
hedhi inatoka haiingii mkuu, kuna kuwa na layera nyembamba kama utando ukeni, na ili uume uingie lazima hiyo layer ichanwe, hiyo inaambata na maumivu +damu kwa mwanamke, so mwanamke bikra siku ya kwanza kusex lazima apate maumivuLock gani? Kama uke unakuwa umepigwa lock anapataje hedhi/periods?
ikira ni mademu bhn na ndio maana siku ya kwanza aumie kutokana na nature ilivyo ruhusuHatumii ubongo wake vizuri huyo
ndio ukweli wenyewe, mwanaume wapi na wapi akawa bikraHahahaha b
ikira ni mademu bhn na ndio maana siku ya kwanza aumie kutokana na nature ilivyo ruhusu
Bikira ninavyojua ni mwanamke ambaye hajawah kuguswa na mwanaume na ndani yake ana ubikira kwenye ukeNini maana ya bikira?
Mkuu@milele amina hiyo avatar yako inanifurahisha Sana aisee🤣🤣🤣🤣
Ili damu ya hedhi itoke lazima ipite ukeni, sasa kama kuna layer nyembamba kama utando ukeni hiyo damu ya hedhi itapitaje ili iweze kutoka?hedhi inatoka haiingii mkuu, kuna kuwa na layera nyembamba kama utando ukeni, na ili uume uingie lazima hiyo layer ichanwe, hiyo inaambata na maumivu +damu kwa mwanamke, so mwanamke bikra siku ya kwanza kusex lazima apate maumivu
Anahitaji tumkalishe chini tumuonye mwanetu anazingua 😂 brohndio ukweli wenyewe, mwanaume wapi na wapi akawa bikra
Andika hapo je unatamani kuwa msaidizi wake wa ndani ili uweze kumfuria chupi zake?Huyu pastari wa kike huwa ananiacha hoi, haogopi wala kuona aibu kutamka mambo ya faraghani kunako majamboz waziwazi mbele ya waumini wake na mume wake yupo hapohapo. Ni pasta wa kisasa, model na pisi kali, ni mrembo kwa kweli
Vipi kwa bikra ya kutengenezwa na mchina nayo ipo kama hii og?hedhi inatoka haiingii mkuu, kuna kuwa na layera nyembamba kama utando ukeni, na ili uume uingie lazima hiyo layer ichanwe, hiyo inaambata na maumivu +damu kwa mwanamke, so mwanamke bikra siku ya kwanza kusex lazima apate maumivu
akikujibu nitagIli damu ya hedhi itoke lazima ipite ukeni, sasa kama kuna layer nyembamba kama utando ukeni hiyo damu ya hedhi itapitaje iliwe iweze kutoka?
Kama mwanaume ana kibamia halafu mwanamke ana uke mkubwa kwa nini asikie maumivu hata kama ikiwa ni siku ya kwanza??
Huwa anampa hadi denda la hadhara mumewe 😂Huyu pastari wa kike huwa ananiacha hoi, haogopi wala kuona aibu kutamka mambo ya faraghani kunako majamboz waziwazi mbele ya waumini wake na mume wake yupo hapohapo. Ni pasta wa kisasa, model na pisi kali, ni mrembo kwa kweli
Mwanamke Bikra hana ule mkubwa mkuu, uke unakuwa right, ukubwa wa uke unaanza pale Saiz tofauti za mitwangio inapoingia, nimesema hiyo layer ni utando very thinIli damu ya hedhi itoke lazima ipite ukeni, sasa kama kuna layer nyembamba kama utando ukeni hiyo damu ya hedhi itapitaje iliwe iweze kutoka?
Kama mwanaume ana kibamia halafu mwanamke ana uke mkubwa kwa nini asikie maumivu hata kama ikiwa ni siku ya kwanza??
nimejibu, mwanamke bikra hana uke mkubwa hata kibamiaa kinabanwaakikujibu nitag
Hiyo layer au tissue inayomfanya mwanamke kuwa bikira inaitwaje kisayansi? Mwanamke akijiingizia au akiingiziwa vidole ukeni bado hiyo layer/tissue itaendelea kuwepo? Bado ataendelea kuwa bikira?Bikira ninavyojua ni mwanamke ambaye hajawah kuguswa na mwanaume na ndani yake ana ubikira kwenye uke
Hivyo siku atakayokutana na mwanaume lazima ile layer au tissue itolewe ndo anapohisi maumivu...
Na akiendelea kufanya anakuwa anatanua njia kidg kidg mpk anakuwa normal
Ameuliza kwamba bikra kuchana layer sasa kipindi cha hedhi damu inatokea wapinimejibu, mwanamke bikra hana uke mkubwa hata kibamiaa kinabanwa