Mchungaji wa Malawi Dr. Ian Ndlovu alitaka Waumini wake wamuombee Mama Samia miaka 3 ilopita

kidonto

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
2,322
Reaction score
3,604

Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.

Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.

Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio Kwa Lengo la kumburudisha, ila Kwa malengo 2.

1. Kuonya.

2. Kuombea hilo jambo lisitokee (Je .! Mnapoambiwa mambo kuwahusu Huwa mnaamini na Kuomba...!?) Ama Huwa mnasema Manabii wa Uongo wameanza, Sasa likishawakuta ndiyo mnawarudia Tena mkisema Kwa Nini hawakufikisha habari Kwa uwazi ili tuombe...!

Ukisikiliza hapa Mtumishi anaongelea juu Maamuzi mawili ambayo Mama anatakiwa kuchagua uamuzi mmoja..!

Kuna uamuzi anaoshauliwa na Watu wake wa karibu auchukue Mtumishi aliuona hauna Busara na akiuchukua huo utaleta Matatizo makubwa Tanzania.

Ila upo uamuzi wa pili wenye Busara, na Mchungaji akaongoza Waumini wake waombe ili Mama achukue huo uamuzi wenye Busara.. ! Ili yasitokee aliyoyaona.

Inavyoonekana ule uamuzi aloshauliwa na Watu wake wakaribu ndiyo alochukua.... !

Mungu ana kanuni zake, tujifunze kusikiliza Sauti ya Mungu pamoja na changamoto zote za Kimadhehebu Bado Mungu anaongea hata Leo.

Sasa huyu Pastor aliona yanayotokea Leo Miaka 3 ilopita, na yeye alishamaliza kazi yake ya kusema na Kuomba, Muhusika kama utalichukua Kwa uzito na wewe ukaanza Kuomba itakua msaada kwako.... Utapuuzia potelea mbali, Pastor yeye alishashema kile Mungu alimtaka kusema.

Unaweza kumsikiliza mwenyewe huyu Pastor wa Malawi.

Screenshot_20250606-203127.jpg
Screenshot_20250606-203055.jpg
 
Thibitisha wewe kama hayupo! Sisi tumeshakuambia Mungu yupo.

Kama unatupinga sema wewe kwanin unasema hayupo
Mungu muweza wa yote na mwenye upendo yupo. Thibitisha ili na mimi nijue kuwa yupo kweli.
 
View attachment 3358280

Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.

Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.

Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio Kwa Lengo la kumburudisha, ila Kwa malengo 2.

1. Kuonya.

2. Kuombea hilo jambo lisitokee (Je .! Mnapoambiwa mambo kuwahusu Huwa mnaamini na Kuomba...!?) Ama Huwa mnasema Manabii wa Uongo wameanza, Sasa likishawakuta ndiyo mnawarudia Tena mkisema Kwa Nini hawakufikisha habari Kwa uwazi ili tuombe...!

Ukisikiliza hapa Mtumishi anaongelea juu Maamuzi mawili ambayo Mama anatakiwa kuchagua uamuzi mmoja..!

Kuna uamuzi anaoshauliwa na Watu wake wa karibu auchukue Mtumishi aliuona hauna Busara na akiuchukua huo utaleta Matatizo makubwa Tanzania.

Ila upo uamuzi wa pili wenye Busara, na Mchungaji akaongoza Waumini wake waombe ili Mama achukue huo uamuzi wenye Busara.. ! Ili yasitokee aliyoyaona.

Inavyoonekana ule uamuzi aloshauliwa na Watu wake wakaribu ndiyo alochukua.... !

Mungu ana kanuni zake, tujifunze kusikiliza Sauti ya Mungu pamoja na changamoto zote za Kimadhehebu Bado Mungu anaongea hata Leo.

Sasa huyu Pastor aliona yanayotokea Leo Miaka 3 ilopita, na yeye alishamaliza kazi yake ya kusema na Kuomba, Muhusika kama utalichukua Kwa uzito na wewe ukaanza Kuomba itakua msaada kwako.... Utapuuzia potelea mbali, Pastor yeye alishashema kile Mungu alimtaka kusema.

Unaweza kumsikiliza mwenyewe huyu Pastor wa Malawi.
Ni muda wa kutafakari kwenye maombezi na maombi yale!
 
Kila Mtu abebe Msalaba wake Ndugu, nawezaje kubeba Msalaba wako...!?
Msalaba ni kitu gani ? Swali langu lipo wazi kabisa , weka uthibitisho wa uwepo wa Mungu hizo swaga za misalaba ni matishio ya kijinga tu mkuu.
 
View attachment 3358280

Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.

Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.

Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio Kwa Lengo la kumburudisha, ila Kwa malengo 2.

1. Kuonya.

2. Kuombea hilo jambo lisitokee (Je .! Mnapoambiwa mambo kuwahusu Huwa mnaamini na Kuomba...!?) Ama Huwa mnasema Manabii wa Uongo wameanza, Sasa likishawakuta ndiyo mnawarudia Tena mkisema Kwa Nini hawakufikisha habari Kwa uwazi ili tuombe...!

Ukisikiliza hapa Mtumishi anaongelea juu Maamuzi mawili ambayo Mama anatakiwa kuchagua uamuzi mmoja..!

Kuna uamuzi anaoshauliwa na Watu wake wa karibu auchukue Mtumishi aliuona hauna Busara na akiuchukua huo utaleta Matatizo makubwa Tanzania.

Ila upo uamuzi wa pili wenye Busara, na Mchungaji akaongoza Waumini wake waombe ili Mama achukue huo uamuzi wenye Busara.. ! Ili yasitokee aliyoyaona.

Inavyoonekana ule uamuzi aloshauliwa na Watu wake wakaribu ndiyo alochukua.... !

Mungu ana kanuni zake, tujifunze kusikiliza Sauti ya Mungu pamoja na changamoto zote za Kimadhehebu Bado Mungu anaongea hata Leo.

Sasa huyu Pastor aliona yanayotokea Leo Miaka 3 ilopita, na yeye alishamaliza kazi yake ya kusema na Kuomba, Muhusika kama utalichukua Kwa uzito na wewe ukaanza Kuomba itakua msaada kwako.... Utapuuzia potelea mbali, Pastor yeye alishashema kile Mungu alimtaka kusema.

Unaweza kumsikiliza mwenyewe huyu Pastor wa Malawi.
Achana na clip, share link ya hiyo miaka mitatu iliyopita yenye hii clip.
Siku hizi hawa manabii wenu wanatumia ujinga wa watu. Yakitokea matukio wanaingia studio na kutengeneza clips zinazoonyesha kuwa alikuwa ameongea hayo miaka kadhaa nyuma
 
Back
Top Bottom