Weka uthibitisho wa uwepo wa Mungu acha blabla hapa
Achana na clip, share link ya hiyo miaka mitatu iliyopita yenye hii clip.
Siku hizi hawa manabii wenu wanatumia ujinga wa watu. Yakitokea matukio wanaingia studio na kutengeneza clips zinazoonyesha kuwa alikuwa ameongea hayo miaka kadhaa nyuma
Nakuwekea Link hapa Mkuu, na ukishaicheki uje hapa hapa kuthibitisha.
View: https://youtu.be/foxbPifoQmE?si=qebuWZ3aNWO4xOAF
View attachment 3358333View attachment 3358334