Uthibitisho kuwa Mungu yupo nikuwa baba na mama yako walipokutana na kupiga bao ukatokeaMungu mwenyewe hayupo , kama yupo Thibitisha hapa
Inathibitisha vipi baba na mama yangu kupiga bao na mimi kutokea kwamba Mungu yupo?Uthibitisho kuwa Mungu yupo nikuwa baba na mama yako walipokutana na kupiga bao ukatokea
Thibitisha wewe kama hayupo! Sisi tumeshakuambia Mungu yupo.Mungu mwenyewe hayupo , kama yupo Thibitisha hapa
Mungu muweza wa yote na mwenye upendo yupo. Thibitisha ili na mimi nijue kuwa yupo kweli.Thibitisha wewe kama hayupo! Sisi tumeshakuambia Mungu yupo.
Kama unatupinga sema wewe kwanin unasema hayupo
Jibu zuri sanaUthibitisho kuwa Mungu yupo nikuwa baba na mama yako walipokutana na kupiga bao ukatokea
Bendera fuata upepo, Thibitisha kuwa ni jibu zuri na lina uwezo wa kuthibitisha uwepo wa Mungu?Jibu zuri sana
Ni muda wa kutafakari kwenye maombezi na maombi yale!View attachment 3358280
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.
Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.
Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio Kwa Lengo la kumburudisha, ila Kwa malengo 2.
1. Kuonya.
2. Kuombea hilo jambo lisitokee (Je .! Mnapoambiwa mambo kuwahusu Huwa mnaamini na Kuomba...!?) Ama Huwa mnasema Manabii wa Uongo wameanza, Sasa likishawakuta ndiyo mnawarudia Tena mkisema Kwa Nini hawakufikisha habari Kwa uwazi ili tuombe...!
Ukisikiliza hapa Mtumishi anaongelea juu Maamuzi mawili ambayo Mama anatakiwa kuchagua uamuzi mmoja..!
Kuna uamuzi anaoshauliwa na Watu wake wa karibu auchukue Mtumishi aliuona hauna Busara na akiuchukua huo utaleta Matatizo makubwa Tanzania.
Ila upo uamuzi wa pili wenye Busara, na Mchungaji akaongoza Waumini wake waombe ili Mama achukue huo uamuzi wenye Busara.. ! Ili yasitokee aliyoyaona.
Inavyoonekana ule uamuzi aloshauliwa na Watu wake wakaribu ndiyo alochukua.... !
Mungu ana kanuni zake, tujifunze kusikiliza Sauti ya Mungu pamoja na changamoto zote za Kimadhehebu Bado Mungu anaongea hata Leo.
Sasa huyu Pastor aliona yanayotokea Leo Miaka 3 ilopita, na yeye alishamaliza kazi yake ya kusema na Kuomba, Muhusika kama utalichukua Kwa uzito na wewe ukaanza Kuomba itakua msaada kwako.... Utapuuzia potelea mbali, Pastor yeye alishashema kile Mungu alimtaka kusema.
Unaweza kumsikiliza mwenyewe huyu Pastor wa Malawi.
Msalaba ni kitu gani ? Swali langu lipo wazi kabisa , weka uthibitisho wa uwepo wa Mungu hizo swaga za misalaba ni matishio ya kijinga tu mkuu.Kila Mtu abebe Msalaba wake Ndugu, nawezaje kubeba Msalaba wako...!?
Achana na clip, share link ya hiyo miaka mitatu iliyopita yenye hii clip.View attachment 3358280
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.
Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.
Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio Kwa Lengo la kumburudisha, ila Kwa malengo 2.
1. Kuonya.
2. Kuombea hilo jambo lisitokee (Je .! Mnapoambiwa mambo kuwahusu Huwa mnaamini na Kuomba...!?) Ama Huwa mnasema Manabii wa Uongo wameanza, Sasa likishawakuta ndiyo mnawarudia Tena mkisema Kwa Nini hawakufikisha habari Kwa uwazi ili tuombe...!
Ukisikiliza hapa Mtumishi anaongelea juu Maamuzi mawili ambayo Mama anatakiwa kuchagua uamuzi mmoja..!
Kuna uamuzi anaoshauliwa na Watu wake wa karibu auchukue Mtumishi aliuona hauna Busara na akiuchukua huo utaleta Matatizo makubwa Tanzania.
Ila upo uamuzi wa pili wenye Busara, na Mchungaji akaongoza Waumini wake waombe ili Mama achukue huo uamuzi wenye Busara.. ! Ili yasitokee aliyoyaona.
Inavyoonekana ule uamuzi aloshauliwa na Watu wake wakaribu ndiyo alochukua.... !
Mungu ana kanuni zake, tujifunze kusikiliza Sauti ya Mungu pamoja na changamoto zote za Kimadhehebu Bado Mungu anaongea hata Leo.
Sasa huyu Pastor aliona yanayotokea Leo Miaka 3 ilopita, na yeye alishamaliza kazi yake ya kusema na Kuomba, Muhusika kama utalichukua Kwa uzito na wewe ukaanza Kuomba itakua msaada kwako.... Utapuuzia potelea mbali, Pastor yeye alishashema kile Mungu alimtaka kusema.
Unaweza kumsikiliza mwenyewe huyu Pastor wa Malawi.
Nasubiri ukamilifu wakeMkuu unasubiri Nini Tena, hata Picha huoni Kwa yanayotokea.....!?
Umelogwa sana na philosophyMungu mwenyewe hayupo , kama yupo Thibitisha hapa
Kwa sababu umetokeaInathibitisha vipi baba na mama yangu kupiga bao na mimi kutokea kwamba Mungu yupo?
Weka uthibitisho wa uwepo wa Mungu acha blabla hapaUmelogwa sana na philosophy