The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Umemskia DPP Mwakitalu kwamba akaunti haikuwa ya kitaasisi ila mtu binafsi na matumizi yake hayako accountable popote!! Then haikuwa kisheria matumizi yake!!Umeelewa? Hizo pesa zinarudishwa kwa waliofanyiwa uhalifu, Yani kutoka kwa walikiri makosa kwenda kwa waliotendewa makosa
Mfano: Kama wewe ulishtakiwa kulipa pesa kwa kudhulumu akina mama,basi hizo oesa zinarudishwa kwa akina mama
Mkuu spinners wako wengi kweli humu. Usipokwa making unalishwa matango pori.Sio kwa waliolipa, ni kwa victims wa waliolipa.
Kama uliiba hela za CRDB kwa mfano, ukaambiwa urudishe, victims ni CRDB ndie anatakiwa kurudishiwa hela zake.
Muwe mnasoma na kuelewa.
Kumbe hizo pesa zilikuwa kwenye akaunti maalum BOT zimekaa tu hazijapangiwa matumizi, kumbe basi Magufuli licha ya mapungufu yake lakini alikuwa na adabu kwenye matumizi ya hizi pesa.
Biswalo hakustahiri kupewa Ujaji kabisa Aliwapora Fedha za Watu wengi sana
Hapo uliponi-quote umeona popote nimeandika "Chato International Airport"?Ilikuaje Chato International airport ikajengwa kijijini kwake?
Hapo uliponi-quote umeona popote nimeandika "Chato International Airport"?
Jadili hoja iliyoko mezani, usikariri tu, zaidi umeambiwa hizo pesa toka kukusanywa kwake hazijawahi kutumika popote, au unabishana na mwandishi alieandika hii habari, na DPP mpya alietoa maelezo?
Wacha kupiga ramli.Alikuwa anasubiri zijae akamalizie Chato airport