Yeah! Hao wawili (
mliwa na
mlaji)ni watu wazima, wanafaragha zao na zinaheshimika. Ndo mana hakuna aliyewahoji walipokuwa wanaingia walikoingia.
Huyo binti hakupiga kelele jambo ambalo linaashiria kulikuwepo na makubaliano na pia inaelekea huyo binti ni mzoefu aliyekubuhu katika hako ka-mchezo.e.g. Kwani daktari alisema ni mara ngapi (
frequency) huyo kafanyiwa au ndo ilikuwa the
first time?
Hoja inayojitokeza hapo ni kutokutimizwa kwa Makubaliano au Binti ametafuta kick ya kujichomoa kutoka mahusiano na huyo kigogo baada ya kumpata
mfadhili mwingine.
Inaonekana pia huyo binti ni kwa hasira au kwa ushawishi na msaada kutoka kwa
mtu asiyejulikana anamkomoa na kumchafua huyo kigogo.