MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Ukitaka kujua wanawake ni wanafiki ni kupitia hili tukio, mpaka muda huu sijawasikia wale sijui LHRC Wala wale wanaojiita jumuiya ya wanawake wa CCM nchi ina watu wajinga sana hii


Kuhusu la RC wa Simiyu sioni Cha ajabu maana CCM ndio michezo Yao Kuna matukio ya ajabu mengi tu wameshafanya na wataendelea kuyafanya
Wale ni wanafiki sana
 
Huyo binti ametumika kum-blackmail huyo RC

Kama umewahi kudate na Mabinti wa vyuo, ni wachache sana wenye ujasiri wa kukataa kutoa ngono kinyume na Maumbile.

Kwahiyo Kuna possibility ametumika kukamilisha mission tu ya kumuondoa RC madarakani
Nadhani uko usahihi:

1. Binti kaenda kuripoti kuwa kabakwa na kaliwa tope. Habari zikavuja na magazeti yakaanza kuandika.

IMG-20240610-WA0047-1-786x1024.jpg


2. RC katenguliwa leo

IMG-20240611-WA0067.jpg


3. Sasa imebainika kumbe binti alishakana hizo tuhuma na kumuomba mkuu wa upelelezi mkoa wa Mwanza kuondoa shauri hilo huku akidai kuwa hataki kutumika kisiasa.

IMG-20240611-WA0074(1).jpg


4. Likely RC Nawanda kawa blackmailed na wabaya wake na binti ametumika tu. Au binti ametishwa ili aondoe shtaka lake. Lakini yote kwa yote RC ndo kapoteza; na kama kiongozi mkuu vile hakupaswa kuwa kwenye situation ile. Inasikitisha!
 
Huyu mwanafunzi wa chuo ilikuwaje akakubali kuingizwa kwenye gari, makubaliano ya safari yao yalihusu nini?

Kwasababu kama mwanafunzi hakutaka kufanyiwa kitendo hicho na RC, basi inawezekana alitaka kufanyiwa kitendo kingine, lakini kwasababu RC alienda kinyume na makubaliano ndio mwanafunzi akakimbilia polisi.

Huyo mwanafunzi atakuwa anajiuza kwa kufuata sheria, kinyume na makubaliano anakupeleka polisi, inawezekana anatembea na mikataba ya kazi yake.
 
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Gideon Msuya alipotafutwa ikiwa ni saa 12:40 jioni kuhusu suala hilo, hakukubali wala kukanusha juu ya uwepo wa tukio hilo zaidi amesema: “Yapo mambo anayoongea kamanda kama kamanda.”

Alipoulizwa na gazeti hili kuwa yeye ndiye ameachiwa ofisi, Kamanda Msuya alisisitiza atafutwe kamanda Mutafungwa kwani ndiye hutoa taarifa.
Hizi tabia ni kutoka kwenye vyama au familia za wahusika maana siamini kama tabia hizo zinafundishwa vyuoni
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Swala sio kupenda wanawake Bali kuwafira,Hawa washenzi ndio wanaeneza Ushoga
 
Huyo msichana nae njaa zitamuua. Alishafanyiwa kitendo haramu na bado akaendelea kuwasiliana na muhusika hadi kuonana naye tena.

Vyovyote iwavyo, nae ana makosa ya kuendekeza tamaa.
Na Ametumika kumuharibia Mwamba.
So Bad.
Mwamba nae mganga wake wa hovyo.. masharti gani hayo..kmmke
 
Yaani kuna tuhuma nyingine mbaya sana ebu fikiria mtu kama huyu anatenguliwa kwa tuhuma za ulawiti sasa siku anaenda kutembea nyumbani kwao anapokewa na Mama yake na dada zake na mabinti zake au wa ndugu zake hivi anawatazama vipi!
Au siku akienda kwa wakwe zake, hebu fikiria hapo yaani ukimtizama tu sura ya lile tukio inajaa usoni mwake, dah kajua kujichumia janga uyu baba khaaa
 
Habari hizi zimekaa kiumbea zaidi, hapa haki ikitendeka huyo Binti ana kesi ya kujibu, hii Ina maana kufanya biashara ya ukahaba, na kama alilawitiwa kesi iongezwe kufanya mapenzi kunyume Cha maumbile!! Hii ni kama kuchafuana tuu!!
Kaa kimya ufiche ujinga wako.

Post in thread 'MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT' MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
 
Back
Top Bottom