MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Tamaa za huyo binti tu
Na si ajabu ashafln sana
Asijifanye mgeni wa kuliwa jicho

Lakini tupaye picha ya huyo binti
Lazima hakosi msambwanda 😄

Ova
wamuache mr rc bwana mtoto mwenyewe kautaka.
usikute alikuta fronti doo ina mzingo (circumference) wa kutosha
 
Habari hizi zimekaa kiumbea zaidi, hapa haki ikitendeka huyo Binti ana kesi ya kujibu, hii Ina maana kufanya biashara ya ukahaba, na kama alilawitiwa kesi iongezwe kufanya mapenzi kunyume Cha maumbile!! Hii ni kama kuchafuana tuu!!
 
Mbaya zaidi alikuwa mwalimu wa chuo

1718092268472.png
 
Habari hizi zimekaa kiumbea zaidi, hapa haki ikitendeka huyo Binti ana kesi ya kujibu, hii Ina maana kufanya biashara ya ukahaba, na kama alilawitiwa kesi iongezwe kufanya mapenzi kunyume Cha maumbile!! Hii ni kama kuchafuana tuu!!
Vina tamaa sana hawa

Acha wazibuliweee tu

Ova
 
Ndiyo njia rahisi ya kumvunjia mtu heshima hasa hawa viongozi wa kisiasa
Hivyo ni visasi vya wanasiasa

Wiki iliyopita jamaa alionekana akikagua majengo ya serikali huko nadhani ilikua kituo cha afya akiwakosoa wajenzi ikawa na mjadala mrefu kweli kwenye mitandao kwa style aliyotumia kukosoa

Leo tayari kaingia kwenye mtego na mama kala kichwa wabaya wake wanafanya sherehe
Ni hatari Mkuu

Yaani nimetafakari nikasema bora sisi Wazee tumeamua kustaafu kuanzia kazi pamoja hayo mambo ya kupenda dogodogo 😜

Tumeamua kuwaachia Vijana tu 🤗
 
Yeah! Hao wawili (mliwa na mlaji)ni watu wazima, wanafaragha zao na zinaheshimika. Ndo mana hakuna aliyewahoji walipokuwa wanaingia walikoingia.
Huyo binti hakupiga kelele jambo ambalo linaashiria kulikuwepo na makubaliano na pia inaelekea huyo binti ni mzoefu aliyekubuhu katika hako ka-mchezo.e.g. Kwani daktari alisema ni mara ngapi (frequency) huyo kafanyiwa au ndo ilikuwa the first time?
Hoja inayojitokeza hapo ni kutokutimizwa kwa Makubaliano au Binti ametafuta kick ya kujichomoa kutoka mahusiano na huyo kigogo baada ya kumpata mfadhili mwingine.
Inaonekana pia huyo binti ni kwa hasira au kwa ushawishi na msaada kutoka kwa mtu asiyejulikana anamkomoa na kumchafua huyo kigogo.:KEKBye:
Yes mkuuu na labda nikujuzee wahusika wakuu hapa n wafamyabiashara

Rc ukienda todauti na wafanyabiashara wa eneo lile nakwambia watakushawishi ujae ukijaa wanakusukumua tairi la moto

Kunanduguyangu aliteuliwa akawa mtulivu kweli sijui ikawaje akaanza kuonekana kukaripia wafanyabiashara eneo lileunajua wanaume kama auko kwenye pombe uzinzi kama sio uzinzi ufiraji

Wakamtwika zigo mojaaa lam
aanaa naloo la chuoo akàlewaa demu anachat na wakuu akamrekodi akiwa na boxer nk ndugu magu hata akutaka saliamtume sijui uchunguzi akahojiwa na wazee wakazi hizi picha zako nk akakiri mzigo ukatoa panapotakiwaa

Sema n vyema pia ukishajua level yako jihadhari nahayamamboo

2.tafuta Lodge ambazo unajua mnaweza kusitiriana
3.usimwamini mtu wengi wakiteuliwa wanajisahau wanajua wakosafe na wale waliowakuta kumbe wanawalia tymng wakiaribu wanarekodi imeisha hio

4.kama uliyazoea sana uźinzi pombe unapunguza kidogo

5.kama unauwezo pangisha kabisa sehemu inageti ukiwa na manziii unaenda zakoo husika unatoaa ganzi unarudiihme safe

6 bar sioo sehemu nzurii sana ya kujichanganya niliwahi ona dc wa tarime enzi zamagu alikuwa anamikwara kwa mademu mwisho wa siku akiwa bar akanza kutembea na bastola last jamaa wkamrekodi magu akumuacha tena kandikwa live gazetin katoka sababu ya pombe ...akilewa anakwambia n rais wa tarime hakuna wakumgusa mara nikimtaka yoyote namchukua mweeee alipoitws kuhojiwa akakana akaonyeshwa kalewa na bastola mezan akakiri ikaisha

Vijana wengi wakiteuliwa wanahisi ndio sehemu ya kumaliza starehe zaooo za maisha wamesahau hata Yesu alikuwa na yuda pemben

Aldbestyusufffuuueeee kidumewambegu
 
Halafu humu mtandaoni kutwa nzima Watu wamekuwa wakimsema vibaya member mmoja aitwaye Cocastic kwa kitendo Cha yeye kujiweka wazi kuhusu sexuality yake wakati wahusika wa mambo hayo wapo wengi sana huko huko Serikalini, Tena wengine wapo katika nyadhifa za juu kabisa za Maamuzi. Ila wakiwa majukwaani au hapa mtandaoni wanakuwa wanafiki wakubwa kwa kuwasema vibaya washirika wa mapenzi ya jinsia moja.

Papa Francis wa Kanisa Katoliki kumbe yupo sahihi kutetea msimamo wake kuhusu suala hili. Alivyosema kwamba 'wanaopinga waraka wake' waelimishwe kwani wataelewa pole pole kuhusu suala hili kumbe tayari alishaona mbali, ukweli Sasa pole pole unaanza kudhihirika.

But, all in all, pole Sana kwa huyo Mkuu wa Mkoa aliyekumbwa na kadhia hii, SEXPIONAGE is real! Utawala wa Urusi pamoja na washirika wake wanatumia Sana mbinu hii ya SEXPIONAGE ili kuwaangusha baadhi ya Viongozi wa Serikali au hata Watu binafsi ambao ni maarufu wanaoonekana kuwa ni kikwaxo kwa maslahi binafsi ya mtawala fulani fulani.
Tena hao wanaojifanya wanapinga ndio wanaofanya hao kina Yahaya
 
Back
Top Bottom