MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Sasa we kiongozi unakwenda the cask bar 😄

Ova
 
Mfano mwanamke kama huyo anaonesha kalio anategesha
Anataka nini si kuliwa mtaro tu
@p

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20240611_113436_Instagram.jpg
    753 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240611_113436_Instagram.jpg
    753 KB · Views: 3
Watanzania wengi hatuna kitu. Kwahiyo tukiona aliye nacho kapata shida tunajipa furaha "hewa" ( yaani furaha ambayo haituondolei shida zetu)
huwa nashangaa sana hiki kitu, unakuta mtu anakupigia simu flani kafukuzwa kazi, flani kapatwa na magumu haya huku ana furaha sana

kiukweli watanzania tuna roho zetu
 
Nafurahi Kuona kuna watu wanataka haki kwenye hili, Kama hadi footage za CCTV Zipo na ushahidi wakibiolojia Mtuhumiwa anapaswa akamatwe na Binti aanze kupewa Ulinzi na counselling.
Hilo litakuwa sio sahihi. Ushahidi huo hauna mashiko Mahakamani Hautoshi kumtia mtuhumiwa hatiani. Yapo mengi na muhimu ambayo yanahitajika ili ushahidi huo uliousema hapo juu uweze kukubalika na kuleta Logic mahakamani. e.g. ni kwa nini Binti (mtu mzima) asipige kelele ya kuomba msaada?, kwa nini alikubali kwenda ndani ya gari la mtuhumiwa kama sio hiari yake?, mwanafunzi(binti) usiku huo huko bar alifuata nini au alimfuata nani? kwa nini hakuwa na msindikizaji yeyote,? Je, hiyo ni mara yake ya kwanza kulawitiwa? (soma report ya Daktari alisemaje) n.k. n.k
Hiyo ni mojawapo ya mbinu za kuchafuana kisiasa.
(BTW: Mimi sio mwanasiasa na kamwe sijihusishi na siasa- siipendi kabisa kwani siasa ni Mchezo mchafu.)
 
Watanzania wengi hatuna kitu. Kwahiyo tukiona aliye nacho kapata shida tunajipa furaha "hewa" ( yaani furaha ambayo haituondolei shida zetu)
Tukiona mbadhirifu wa Mali ya umma, mfiraji au anayeonea watu akitumbuliwa ndio tunafurahi.
Mbona Lukuvi alivyoondolewa ardhi hakuna aliye furahi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…