MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Tukiona mbadhirifu wa Mali ya umma, mfiraji au anayeonea watu akitumbuliwa ndio tunafurahi.
Mbona Lukuvi alivyoondolewa ardhi hakuna aliye furahi?
Ndugai alitenda kosa gani mbona ndimi ziliwatoka? Mpk matamko ya UVCCM n.k yakatolewa.
 
Kwani kitendo hicho kilitokea wapi?. Kama walikubaliana na kwenda Hotelini kuna mbaya gani?. Kwani alimlazimisha ?.
Alishamuomba kwa mpalange mara kadhaa binti akachomoa.

Siku ya siku wakakutana club, akamlewesha pombe kwanza, halafu akampeleka ndani ya gari eneo la maegesho ya magari akamtatua marinda kwa shuruti...
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
Baraza la wazee wa Kipemba limeanza kupitia taarifa hizi kuanzia asubuhi hadi sasa ila hawajaona kosa liko wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…