MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

kaishaandika barua ya kwamba hataki kutumika kisiasa
kaishaharibu ushahidi
 
Hapo majibu ya DNA findings ndo yanaweza kuwa mwokozi au maangamizi kwa Mtuhumiwa.
 
Hivi Binti mkubwa atakubali vipi na kuzidiwa nguvu na mtu mmoja tena kwenye bar ya kask ambapo Kuna nyomi ya watu.

Kwanini hakupiga kelele za kuomba msaada?
Hiyo bar ina walinzi wakutosha ilikuwaje wasizingatie usalama wa wateja? Hadi Binti alawitiwe walikuwa wanatimiza majukumu Gani kwanini hawakumsaidia?
Hivi mkuu wa mkoa kwa cheo chake ataenda kumlawiti mtu Bar? Asifanye faragha hata hotelini?
Mkuu wa mkoa atazurula tu usiku wa maneno bila walinzi wa serikali? Ina maana na walinzi walishuhudia uhalifu wa ulawiti ukifanywa?
Si wanalipwa mishahara ya serikali.

Hili suala linaniacha na maswali mengi.
Nadhani Rais wetu amefanya uamuzi wa mapema kumtengua?
Hawa wanawake wanatumia uanawake wao kukomoa na kuchafua wanaume.
Anyway tuamini mahakama itatoa haki na ukweli utathibitika uko
 
Naona chawa wa RC mnajitahidi kujitetea humu. Tayari keshang'olewa URC. Kinachofuata ni kupelekwa mahakamani.
 
Taasisi ya uteuzi Ina upeo wa kuona Kuliko uwezo wa macho yako harafu Cha pili huyo Binti ana miaka 21 na Si 25 au umetumwa kumsafisha RC?
 
Naungana na wewe
Mbona haimake sense Au demu alitekwa?
Miaka 21 tena yupo chuo hapana kwa kweli. Njema hizo

Kuchafuana kisiasa!
Ana miaka 25 mkuu, huyu ni mama kabisa, tena eti kalawitiwa bar.
Yaani kama binti aseme kalawitiwa pale kimboka, alifuata nini?
 
mbona kesi imeisha si nimeona kuna barua inapepea kwamba yule binti kaiandikia mahakama sijui polisi kwamba hataki kuendelea na kesi ati hataki kujiingiza kwenye siasa maana bado anasafari na mambo kadha wa kadha!...😁
sa sijui kama ile barua ni yakwake kweli au kuna wazee wa mambo wamefanya yao!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…