Hao wanaofanya vetting nao ni binadamu tu hivyo huko nako kuna connection.Nakubaliana na wewe.
Maana kuna wakati mwingine utashangaa kiongozi mkubwa anafanya maamuzi ya ajabu ambayo hata mtoto wa darasa la 3 anashangaa.
Nadhani mambo ya kufanyia vetting viongozi yaliishia enzi za Rais Mwinyi na Mkapa baada ya hapo ni mambo ya connection ndio yanafanya kazi zaidi
Hivi vibinti vya sasa vina tamaa sana mara anataka iPhone 15 sjui nipangoe nyumba ohh nataka gari,mara nlipie adaaaaSana,Mwamba anasema anaipigia zile mbinje za Athumaniiiii....!!! 🤣 🤣
OVA
Nakazia hoja. Na ndo maana siku hizi tunashuhudia mambo na Tabia za ajabu-ajabu na za kijinga ambavyo tulidhani hayawezekani kufanywa na wateule.Nakubaliana na wewe.
Maana kuna wakati mwingine utashangaa kiongozi mkubwa anafanya maamuzi ya ajabu ambayo hata mtoto wa darasa la 3 anashangaa.
Nadhani mambo ya kufanyia vetting viongozi yaliishia enzi za Rais Mwinyi na Mkapa baada ya hapo ni mambo ya connection ndio yanafanya kazi zaidi
Ukiwa na shughuli zako Dom kipindi cha kikao cha Bunge utapata shida sana nafasi ya kulala huko guest.Ukiwa dodoma kuna vibinti vya chuo utawakuta wanawavizia viongozi,wanakwenda na kujilengesha kwao 😄
Ova
Wa kulaumiwa ni mkuu wa mkoa kuruka ukuta!Binti nae ana makosa, hakufunzwa kwao anafunzwa na ulimwengu sasa.
Exactly True and a Fact.Wa kulaumiwa ni mkuu wa mkoa kuruka ukuta!
Katika Hali ya kawaida Binti akishawishiwa na mkuu wa mkoa Tena upo chuo na ajira huna uhakika lazima tu ataingia kingi tu!
Tena na Hela unapewa, naturally Mammalia was kike anahitaji ulinzi was kihisia na kimahitaji Kwa Mammalia wa kiume!hata uwe umeokoka utakemea pepo huku unashangilia utamu!
Binti hana kosa,kwanza alimheshimu pili alimtegemea,SEMA huyu Mammalia wa kiume mwenzetu ameikosea sana hii Class,yaani kakosea True male character!
daah hii ishu kweli ni hot hadi huyu raraa reree ameandika kitu hapa?Mtuhumiwa isije kuwa anatumika kisiasa dhidi ya mbunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wauza nyapu na matk sahv namba moja ni videm vya vyuoni
Mzazi kama binti yako yuko chuo
akirudi nyumbani wakati wa likizo hebu muwapime marindaaa yao
ova
🥴 Hilo wanajua waoKwa mujibu wa stori, ni kwamba alilazimishwa. Hiyo lazima ilikuwa haraka sana kama ya bata au kuku? Yani haiingii akilini.
😁😁😁 Aisee huyu apewe zawadi ,hapitwi na kitu lazima alike! Hata hopa atakuja.punde !daah hii ishu kweli ni hot hadi huyu raraa reree ameandika kitu hapa?
maana siku zote anajichomoa ufahamu yeye ni mwendo wa kulike na kudislike tu
mm adi nilizani sio mtu ni robot labda
SimiyuGeita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, lagers au Mara?
Mkuu funguka! Kwetu mara hatunaga kufichaficha
Sana nishaona sana waheshimiwa wakigombaniaaUkiwa na shughuli zako Dom kipindi cha kikao cha Bunge utapata shida sana nafasi ya kulala huko guest.
Kuna wakati unakosa vyumba mpaka inabidi uende kulala kukesha stendi 😄Ukiwa na shughuli zako Dom kipindi cha kikao cha Bunge utapata shida sana nafasi ya kulala huko guest.
Hata kama hakuingizwa kwa nguvu kwenye gari, tuseme walikuwa wapenzi (wanachepuka) mapenzi ya kinyume na maumbile yanaruhusiwa?Huyo Demu alitekwa na akaingizwa kwa nguvu kwenye hilo gari la Mheshimiwa mla tigo???? Tuanzie hapo
Shikamoo Biologist.....Wa kulaumiwa ni mkuu wa mkoa kuruka ukuta!
Katika Hali ya kawaida Binti akishawishiwa na mkuu wa mkoa Tena upo chuo na ajira huna uhakika lazima tu ataingia kingi tu!
Tena na Hela unapewa, naturally Mammalia was kike anahitaji ulinzi was kihisia na kimahitaji Kwa Mammalia wa kiume!hata uwe umeokoka utakemea pepo huku unashangilia utamu!
Binti hana kosa,kwanza alimheshimu pili alimtegemea,SEMA huyu Mammalia wa kiume mwenzetu ameikosea sana hii Class,yaani kakosea True male character!
Ndiyo yeye?
Dear ujambo?Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.