digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kabisa, huyo dada lazima atakuwa ni mtu wake wa kitambo tu na kama kumpa mtaro washapeana sanaKwa hali ya maisha ya sasa, ni Wasichana wachache sana wasifanya ngono kinyume cha Maumbile
Huyo binti huenda amekuwa akifanya naye Kwa ridhaa yake ila wakashindana malipo.
Japo inaweza kuwa ni mbinu ya kumuondoa huyo RC kwenye nafasi hasa kama Kuna mahali aliingilia maslahi ya watu.
Nimekuwa nafanya kazi na Wanasiasa Kwa muda mrefu sasa, hivyo nafahamu kidogo kuhusu mchezo mchafu uliopo kwenye Siasa 🙌
Kwa kuwa taarifa inaweza kufanyiwa kazi na mfumo, hivyo tunaweza kujua undani wa taarifa hii
nasikia simiyu hukoWa mkoa gani huyu
Ndo atelezee mtaroni!?Wakubwa hawakosei bali wameteleza
Au ndio yale ya kukalia chupa? Kuchafuana?Hakunakituhapo subiri uone
Madem wengi hapo wanatoa jicho sanaMNASHINDWA HATA KUJIPANGA KUMCHAFUA MTU
SASA JITUKAMA NANCY SWAI LA SAUTI NA MAPICHAYAKE MACHSFU ENZIZILE UTASEMA LIMELAWITIWA AMA LIAKILAWITI
SAUTI KUNA MAJINI MAHABA NA UKIMWI WA KUTOSHA KULE WALA SIO KWA KUWAONGELEA WATOTO WENGI WANAJILIPIA ADA KWA ANJIA ZA KUUZA UCHI
HUYO KAKOPWAAA KINAMUWASHA
aliingiaje kwenye gari la kuuu wa mkoa? Mwanafunzi wa University? male or female?My Take
Kwa Tuhuma hizi tuu,huyu RC wa Mwanza alitakiwa awe amefukizwa kazi Ili asizime ushahidi but Bado anadunda.Inasikitisha sana Mkuu wa Mkoa wa Tabora Yahaya Nawanda Kalawiti mwanafunzi ila bado yuko Ofisini na Hatua hazichukuliwi
Mwisho,huenda jambo hili nalo likaishia kama yule Waziri aliyesababisha ajali ya mwanachuo na ikasemekana yeye hahusiki kama tulivyotangaziwa.
Viongozi Wetu hawana maadili kabisa.
View: https://www.instagram.com/p/C8EN1EXNAYF/?igsh=MTh0OTFwaTZ3amJteg==
Ni Rc wa simiyu DKT Yahya ameshatenguliwaMwandishi kama yupo humu basi mtaje huyo RC tumsagie kunguni
Amefunza kutumia mbele, sio nyuma ndo mana amelalamika.Binti nae ana makosa, hakufunzwa kwao anafunzwa na ulimwengu sasa.
DaahNi Rc wa simiyu DKT Yahya ameshatenguliwa
taarifa zipo wapi mkuu?Ni Rc wa simiyu DKT Yahya ameshatenguliwa