Hii Ina apply kwa blacks tu mkuu?
Sijaona wazungu na waarabu wakivuna walichokifanya kwa waafrika. Imagine watumwa 180M walisafirishwa Ile slave trans antlatic trade ,waarabu wametuua mno,kutuuza utumwani na wazungu wanazidi kutuibia madini,wanachonganisha watu wanapigana wanauza silaha mbona bado wanastawi na wanaibiwa wanazidi kuwa masikini zaidi na hatuoni hayo malipo mpaka Leo hii hapa dp world wanatuibia bandari kwa miktaba ya wizi. Naomba unielezee hii imekaaje ama inaogopesha mwafrika asije akamuibia mzungu Bali yeye anamuibia mwafrika.
Kumbuka Libya saivi mafuta yake yanachotwa kwa namna ya wizi na ulaghai. Vipi na hili USA ,France watavuna lini walichokipanda