Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Ukienda Arusha kula bata lako lakini wale wadudu usiguse kabisa.. Wanajifanya much know sana.. Ukiwa mwepesi wa hasira unaweza ukawana nao majengo ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nimeshajiapiza nikiwa arusha mwanamke wa kimeru mabatani hata salamu yangu hapati maana wana mambo yao flaniflani ivi naweza chukua sheria mkononi nikaonekana mbaya au kuishia jela bila sababu ya msingi
 
Yani ufusika juu ya ufusika... Alafu unakuta wameoa kabisa... Sasa si bora utafute kidemu chako tu mitaa hata sura ikiwa haieleweki cha msingi utelezi unapata kuliko kwenda kupanga msururu kwa kaaba utafikiri mbwa dume wanapanda jike la mbwa
Unajua kwanini mademu na wanawake wakali wale warembo haswa hutumika kama majasusi na wapelelezi??

Kuna wanawake ukiwakuta wanajiuza unaweza ukajiuliza maswali mengi sana lakini ndio hivo wapo 'kazini'
 
Legend katika ubora wako.

Otherwise ule wimbo wa wanatuona manyani ni wa ukweli 😂 Tabia zingine ni za kinyani nyani kabisa.
Sina ulejend wowote mkuu, maandishi tu hayana uhalisia wakati mwingine. Ila kununua wa kupanga kimboka hapana aisee😁
 
Back
Top Bottom