Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Shiva mitaa ya Olololoo!

Hivi yule Masai bado yupo kwenye ile gesti nyuma ya Shiva mameneja wake mapacha " Hassan na Hussein"?
Hawa mapacha Hasani na Husein kama ni wale wa mti safi nini?
 
Kwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?

Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.

Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375] hakikka mkuu[emoji109][emoji109]
 
Mimi mmoja nilimuonesha mtutu ndio tukaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni mkorofi na unamiliki mtutu .... kwani ungemwachia baada ya yeye kula vyako ungepungukiwa na nini? kumshikia mwenzio mtutu utelezi haunogi tenaaa

ila wadada POA wanakutana na mengiii na hawakomi /hawaachi / bado wanaendelea
 
Wenyewe wana msemo wao “wanawake wote ni makahaba” sina hakika na hii kauli ya jumla jumla.

Lakini hii ya anatoka mtu anaingia mtu tena unaona live kabisa ni level ya juu kabisa ya kujitoa ufahamu na kujikatia tamaa, na pengine ni tatizo la afya ya akili. Kuna mambo wala si ya kawaida. Hata kinyaa 🤮
Tuko pamoja katika hili, sijawahi kuelewa hii kitu, anatoka anaingia...binafsi nikijua tu una mtu wako basi naachia ngazi, nnajihisi tofauti.
 
Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Hii Ina apply kwa blacks tu mkuu?
Sijaona wazungu na waarabu wakivuna walichokifanya kwa waafrika. Imagine watumwa 180M walisafirishwa Ile slave trans antlatic trade ,waarabu wametuua mno,kutuuza utumwani na wazungu wanazidi kutuibia madini,wanachonganisha watu wanapigana wanauza silaha mbona bado wanastawi na wanaibiwa wanazidi kuwa masikini zaidi na hatuoni hayo malipo mpaka Leo hii hapa dp world wanatuibia bandari kwa miktaba ya wizi. Naomba unielezee hii imekaaje ama inaogopesha mwafrika asije akamuibia mzungu Bali yeye anamuibia mwafrika.
Kumbuka Libya saivi mafuta yake yanachotwa kwa namna ya wizi na ulaghai. Vipi na hili USA ,France watavuna lini walichokipanda
 
Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
...Du, ikaishaje Mkuu ?
 
Back
Top Bottom