Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

hupendezei na story za aina hii kabisa[emoji706]
Siwezi kuficha nyayo zangu... Nikizifukia kuna watakaozifukua. Ni story ya miaka hiyo nilipokuwa kijana.. Hakuna ambaye hakufanya ujinga ujanani.. My apology kwa kukwazika Mrs Besyige But the truth has to be told.. [emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.

Hizi ndo akili za wanaume
 
SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Mhadhiri mmoja wa UD alipakuwa hao watu wa hapo panapo maafa, aliamshwa asubuhi akiwa hana kitu, walimlisha madawa ya kulevywa wakaondoka na kila kitu akakutwa hajitambui na siku hiyo alikuwa anasubiriwa kuwasilisha paper kwenye mkutano muhimu ndani ya ukumbi mmoja mkubwa hapo jijini
 
Kwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?

Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.

Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Wale wa kinondoni staili yeyeto lazima uchomolowe wakat we unashughulika mwenzio yupo bize kushughulikia mifuko yako
 
Kwamba ushauri utamkuta kaburini

Dah aisee ufusika pro-max.... Mimi kuliko kutoa pesa ninunue kahaba bora nile Puchu tu, kwanza mimi nikishajua una mabwana buku, mzuka uwa unaishia hapo... Nakata mazoea, siwezi kuhalalisha ukaaba kwa kununua malaya

Wapo waliohai wenye tabia kama za huyo , kwa hiyo hili ni funzo kwao ili yasiwafike.
 
Back
Top Bottom