Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Kuna Malaya nawajua Wao Kwao ni Mambo safi kiasi kwamba wanaweza hata Kunilisha na Kunivesha GENTAMYCINE sijui na hapa utasemaje.
Mkuu pesa za kwao nyumbni zisikutishe huenda kwao wanaweza kuwa na hela ila yeye hana hata senti.....

na kuna wengine kwao kuna pesa na anachopewa ni kidogo kiasi cha matumizi tu ila hataki kuishi mean life anatka aishi maisha fulani hivi alomuona nayo wema au Hamisa mobetto nakuta wengi wanatumia hiyo pocket money ndogo wanayopewa na wazazi wao ili kutengeneza Wanaita wenyewe brand ili wapate Watu wawaonge pesa ndefu za kutosha....

Ila ukiangalia shida kubwa ni pesa ukiwapa pesa wanayostaili au ukiwafungulia biashara ambayo inastahili wanainuka...

Kuna mwaka Fulani hivi kipindi natumia Tinder kuoata warembo niliwahi kutana na mwanasheria mmoja huko Tinder kasoma sheria na kahitimu na kafanikiwa kumaliza law school ila kila akienda kufanya interview anakosa na hajafanikiwa kuajiriwa serkalinu hana hela ya kuanzisha chamber yake na alipomaliza shule wazazi wake walifariki....
So hana wa kumsaidia niliumia sana yaani hata ile hamu pale hotelini iliisha yote nilumuunganisha na Jamaa yangu ambaye alikuwa na chamber yake....
Na sasa hivi yuko vizuri anapiga kazi na huez amini hana huo umalaya wa kujiuza apate pesa...
 
Acheni yawakute ili Wakome na Waache.
 
Aisee, hii mbaya sana, mdada wa watu anjihangaikia zake halafu unamyonga tena. Au alimuua bahati mbaya akataka ionekana kama kajinyonga?
 
Back
Top Bottom