Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Ila dunia imekwisha asee yaan wana bargain kabisa juu ya ngono aanze nani afuate nani🤣🤣🤣
Sio poa, kuna wemgine wana vikundi vyao wadada unakuta wapo 6 na kuendelea. Wao wanaita party unalipia kiingilio then unatia maguu location. Kinachofanyika wanakuwa kwenye mjengo wanaendela na shughuli za kawaida kama kunywa wa pombe wa juice, kuna wanaocheza mziki kuna waliokaa tu wametuli na stori lakini wanakuwa na vichupi tu na wewe unakuwa hapo umechil unachagua ule yupi ukitaka wakuchangie ni wewe na nguvu zako.
 
Watu hawana kinyaa?

Shida ya hawa wadada wana tamaa sana. Kuna jamaa alimshushia kipigo dada mmoja guest sitasahau like tukio. Tukiwa tumelala zetu tumetulia bila kujua kumbe baadhi ya vyumba vinatumiwa kama danguro ghafla tukasikia kelele nipige uniue. Hatukutoka tukawa tunasikilizia ndani badae wakatoana koridoni na meneja wa Hotel akawa anawasulisha, ishu ikawa kumbe YULE DADA ALIPATANA DAU NA JAMAA APIGE 2 - 0 , ILE JAMAA KAFUNGA GOLI LA KWANZA MDADA KAPIGIWA NA MTEJA MWINGINE KAMPOKEA KAMWAMBIA YUPO FREE AKIJUA MPAKA AFIKE JAMAA ATAKUWA KATOKA PASIPO KUJUA MTEJA WA PILI ALIKUWA MITAA YA KARIBU SO NDANI YA DAKIKA 2 AKAPIGA TENA AMEFIKA, SASA MDADA NA TAMAA YA PESA AKAMWAMBIA JAMAA ALIEKUWA NAE NDANI ATOKE NJE ASUBIRI JAMAA AINGIE APIGE KAMOJA HALAFU ARUDI WAENDELEE. JAMAA NAE AKAMWAMBIA HUYO ALIEKUJA NDIO MWAMBIE ASUBIRI NJE MAANA TAYARI YUKO NJE AU NIRUDISHIE PESA NUSU TUISHIE HAPA, MDADA HATAKI KURUDISHA PESA NA ANAKOMAA JAMAA ATOKE NJE KIMBEMBE KIKAWA KIMBEMBE SIO POA ALICHEZEA.
 
Kwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?

Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.

Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Umalaya na Bodaboda risks zao katika kazi zao ziko sawa kabisa.

Huwezi jua mteja ana nia gani na mtoa huduma huyo.

ukiendekeza tamaa utakatishwa tamaa na mauti chap kwa haraka kama kama huyo bidada...

wateja wengine wanatarget zao ovu na saa zingine zinachochewa na ushirikina
 
Kwamba ushauri utamkuta kaburini

Dah aisee ufusika pro-max.... Mimi kuliko kutoa pesa ninunue kahaba bora nile Puchu tu, kwanza mimi nikishajua una mabwana buku, mzuka uwa unaishia hapo... Nakata mazoea, siwezi kuhalalisha ukaaba kwa kununua malaya
Mwanangu uko km mm.Mimi na kinyaa ile mbaya maishani mwangu sijawahi na sizani km nitanunua malaya aisee big no kwani nikipiga puchu km na ugwadu simwagi. Mpaka nikale makombo uchafu wa hali ya juu
 
Kwanza tuanzie hapa je, Umalaya ni Kazi halali na inayompendeza Mwenyezi Mungu na aliibariki katika Vitabu vyake Vitakatifu?

Ukijijua Wewe ni Malaya usipende kuwa na Tamaa kwa Mteja juu ya kile mlichokubaliana, usiwe Mwizi au Mchonga Madili na Wezi ili ukiwa na Mteja wako waje Kumvamia na wamkwapue Hela au Mali za Thamani.

Malipo ya Upumbavu huwa ni hapa hapa duniani na Wahenga walituambia 'you will reap what you sow' Kudadadeki....!!
Inasemekana wamekuta mpaka kinyesi ndani sasa jamaa sjui alimzubua mtr

Ova
 
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..
Lakini muuwaji si kakamatwa

Wakati anatoka nduki huku akiwa kavaa boxer

Ova
 
Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu

Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up..
Yote hii inasababishwa na maisha magumu wallah
 
Back
Top Bottom