Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

Kumbe na wewe ni mkorofi na unamiliki mtutu .... kwani ungemwachia baada ya yeye kula vyako ungepungukiwa na nini? kumshikia mwenzio mtutu utelezi haunogi tenaaa

ila wadada POA wanakutana na mengiii na hawakomi /hawaachi / bado wanaendelea
HAWANA UTELEZI HAO
 
Ukienda Arusha kula bata lako lakini wale wadudu usiguse kabisa.. Wanajifanya much know sana.. Ukiwa mwepesi wa hasira unaweza ukawana nao majengo ya serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
Chalii za Arusha huwa wanakuwa na hype fulan za kijinga sana na hata mademu wa chuga wana mikwara sana maraa oh mie chuga girl sijui nn, kuna siku demu mmoja aliniletea hizo pigo nikamuonya akatii hadi kesho
 
Polisi hawajatoa tamko lolote
 
Tuwe tunaheshima! Umeshindwa kumtambulisha kivingine, ila kwa "ANAYEJIUZA"?
 
Hatufurahii kifo ila malaya wana roho mbaya sana
 
Kama unafahamu chanzo cha hayo mauaji, unaweza kuwasaidia polisi kwenye uchunguzi wao.
Ushahidi pekee ninaoweza Kuutoa kwa Polisi ni jinsi gani Upumbavu mwingi ulionao ni Hatari kwa Ustawi na Usalama wa Tanzania kama nchi na Watanzania kama Watu hivyo Wakudhibiti haraka kabla ya Hatari / Madhara kuanza.
 
It applies to those who believes, kuna mzungu alishawahi niambia kwamba mambo ya "karma" ni ya Wahindi na wanaoyaamini🤣🤣🤣
 
Hassan Hamis alidai alimwona kijana huyo akiingia katika nyumba hiyo na baada ya muda alisikia kelele ndani ya chumba hicho zilizoashiria mzozo na ilipofika mchana, aliona kijana huyo anatoka kwa kukimbia akiwa amevaa nguo ya ndani tu.
Ukiua akili zinakutoka lazma ujikute umefanya mistake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…