Hahahaaaa. Haya bana Kaka ila mie kuna baadhi ya Story ikitokea nikaamini basi asilimia zangu hazijawahi fikaga 50.Si nawasoma kila siku, hawatoki na masikini kama sisi. Hata kitchen party zao za kitajiri hawajadili vitu kama hivi
Kwani wewe unatoka na bf masikini.Umetumwa wewe.
Ndo nyie mumewazowesha tabia hii mbaya.Wanawake hampendani. Kwani angenunua kingearibika nini
Mimi.sina bfKwani wewe unatoka na bf masikini.
Hii thread ipo jf naijibu ki jf jf...humu kila mwanamke bae wake anapesa chafu.Hahahaaaa. Haya bana Kaka ila mie kuna baadhi ya Story ikitokea nikaamini basi asilimia zangu hazijawahi fikaga 50.
Drinks.Jana tulikwenda kukumbuka enzi Mimi na babu yenu, yes wanapiga zilipendwa pia.
Wadada wazuri wamefika club wanaomba kabisa wanaume wawanunuliwe drink
Kama huna hela hivi kutoka ni lazima? Hiyo hela ya usafiri na kiingilio si ingenunua chakula ule nyumbani?
Wewe si hutaki bf masikini subiri hadi upate kibosile.Mimi.sina bf
Wewe si ulinikataa?Wewe si hutaki bf masikini subiri hadi upate kibosile.
Ha ha ha kapuku mimi nitakuweza wapi? Utaweza kuishi kwa mtogole wewe? Jirani yako bibi nyauWewe si ulinikataa?
Wewe na punguza kuchapia utakuja kutukana watu bila kukusudiaSisi hat una pesa chaff lakini tuna you ya kututosha
Siwezi kuhama kwa bibi tinaHa ha ha kapuku mimi nitakuweza wapi? Utaweza kuishi kwa mtogole wewe? Jirani yako bibi nyau
Rrondo kavurugwa leoSisi hat una pesa chaff lakini tuna you ya kututosha
Aibu itoke wapi, si anajua kuna returns.Kuomba? Mambo ya aibu
Kuna ubaya gani kuomba kama huna?Kuomba? Mambo ya aibu
Na nani?Rrondo kavurugwa leo
Umenyimwa k mahali sio bureNa nani?