Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaa. Haya bana Kaka ila mie kuna baadhi ya Story ikitokea nikaamini basi asilimia zangu hazijawahi fikaga 50.Si nawasoma kila siku, hawatoki na masikini kama sisi. Hata kitchen party zao za kitajiri hawajadili vitu kama hivi