kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Shule, tuition, homework, chuo, and labda baadaye kazi/sjira/biashara.Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
jimama kubwa halijui kupika ulipeleke VETA kwa nini? VETA mbali, afundishwe na majirani au we mwenyewe mwanaume mfundishe kupikaMpeleke veta mkuu, wanafundisha hizo mambo
Cha msingi angalia kama anakingine cha ku offer kwenye familia....Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
Mgonile wadau,

veta wanafundisha kupika ugali wa uwele/mtama na mboga za irimbe/nsansa?Mpeleke VETA Akafundishwe Ukimpenda Utamthamini