Mdada usikubali hizi swaga za kwamba tutafute maisha pamoja. Mpaka mkayapate maisha utakuwa umechakaa, mwanaume ataoa kabinti ka darasa la saba

Hakuna formula unaweza fanya hivyo na ukaibiwa vile vile.

Bora kua na mtu unae mkubali tu
 
Wapo watu huyapata kwà bahati mbaya....na wengine ni sahihi kabisa. wayapate. Haiwezekani uzini na wanaume zaidi ya 5 wiki nzima ...na usipate shida. Kwani we umekua nani bhana?
Ajali kazini hiyo. Usitishe watu.

Rudia kusikiliza wimbo wa mwanaFA "Hakuahi kuonekana na binti lakini alikutwa ana ngoma".

Kuna wanaocheza gemu na wapenzi 10 kwa wiki miaka lukuki lkn hawana ngoma. Na kuna wanaojaribu siku moja tu wanaipata.
 
Kawa hivo siyo kwasabb alikukukataa wewe. Usijipe umungu. Kwani wewe ni nani?

Ni majaliwa yake Mungui, aliandikiwa hivyo.
We endekeza ngono, danga...uanze kuugua afu umsingizie Mungu kakuandikia hayo maunyoro!!!
 
Ajali kazini hiyo. Usitishe watu.

Rudia kusikiliza wimbo wa mwanaFA "Hakuahi kuonekana na binti lakini alikutwa ana ngoma".

Kuna wanaocheza gemu na wapenzi 10 kwa wiki miaka lukuki lkn hawana ngoma. Na kuna wanaojaribu siku moja tu wanaipata.
ACHA uzinzi. Sio hulka njema.
 
Wanaume wenye maisha magumu mna hasira hatari. Makasiriko ya nn? Tafuta hela.
 
Kidonda gani unaongelea mkuu?
 
Na sisi vijana wa kizazi hiki unaoaje mwanamke ilihali hujasimama vyema kimaisha ?!!!

Maisha ya mwanaume yanaanza kuwa bora kutokana na uchumi wake bora.....

Unamkuta kijana amemaliza chuo kikuu na kupata ajira tu anatangaza kuoa....[emoji1787][emoji1787]

Ardhi zipo kisarawe....

Anaishia kupanga nyumba mpaka akiwa miaka 50.....
 
Ni Ajabu sana, Wanawake wanataka Wanaume wakiwa na Hela wawathamini...

Na wakati Wanaume walipokuwa hawana Hela hawakuthaminiwa na Wanawake...

Mwanaume ambae hakuthaminiwa alipokuwa Fukara akipata Pesa ni ngumu kumthamini Mwanamke...
Na sote sisi hatujawahi kuthaminiwa ulofani. ..tuanze vipi kubadilika?!!! [emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Ni Ajabu sana, Wanawake wanataka Wanaume wakiwa na Hela wawathamini...

Na wakati Wanaume walipokuwa hawana Hela hawakuthaminiwa na Wanawake...

Mwanaume ambae hakuthaminiwa alipokuwa Fukara akipata Pesa ni ngumu kumthamini Mwanamke...
[emoji2956]
 
Vijana wengi Wana umri mdogo lkn kichwani wamezeeka. Wanaiga maisha ya babu na bibi zao. Ndiyo maana ndoa zinavunjika hovyo.

Tanzania hatuna vijana. Tuna watoto na wazee tu. Mtu anatoka utoto anaingia ujanani lkn anachukua akili za kizee hivyo anaruka stage ya ujana
 
User name : Sexless.
 
Alafu wenye hela mara nyingi ni watu wazima
Nataka kijana mwenzangu akianza kucheza uko mbelen kimpango wake
 
Dada acha ushauri.mwingi 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…