Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajali kazini hiyo. Usitishe watu.Wapo watu huyapata kwà bahati mbaya....na wengine ni sahihi kabisa. wayapate. Haiwezekani uzini na wanaume zaidi ya 5 wiki nzima ...na usipate shida. Kwani we umekua nani bhana?
We endekeza ngono, danga...uanze kuugua afu umsingizie Mungu kakuandikia hayo maunyoro!!!Kawa hivo siyo kwasabb alikukukataa wewe. Usijipe umungu. Kwani wewe ni nani?
Ni majaliwa yake Mungui, aliandikiwa hivyo.
ACHA uzinzi. Sio hulka njema.Ajali kazini hiyo. Usitishe watu.
Rudia kusikiliza wimbo wa mwanaFA "Hakuahi kuonekana na binti lakini alikutwa ana ngoma".
Kuna wanaocheza gemu na wapenzi 10 kwa wiki miaka lukuki lkn hawana ngoma. Na kuna wanaojaribu siku moja tu wanaipata.
Wanaume wenye maisha magumu mna hasira hatari. Makasiriko ya nn? Tafuta hela.Nyie wanawake mliokwisha thamani mnapenda sana kudanganya wenzenu nao wazeeke bila watoto au ndoa, mnapenda kuona wanawake wenzenu wanaishia kujiita singo maza...
Hapo ulipo umeingia menopause na huna mategemeo ya kuolewa tena... Imeisha hiyo weee endelea kujiita dungaembe muda umekuacha, waache wanawake wenzio wenye akili wainjoi maisha na wanaume zao...
Kidonda gani unaongelea mkuu?Sasa mbona mpaka sasa hajampata Mwenye hela? Maisha ya kudanga...KILA kukicha kushinda hospital kusafishwa kidonda Ndugu...
Afu kuna wanaume wengine huwa siwaelewi kabisa....
Unawezaje kutembea na Mwanamke mwenye kidonda kikubwa namna ile? Au yale Matako yanawazuzua? Daah hatari sana!!!
Na sisi vijana wa kizazi hiki unaoaje mwanamke ilihali hujasimama vyema kimaisha ?!!!Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha
Na sote sisi hatujawahi kuthaminiwa ulofani. ..tuanze vipi kubadilika?!!! [emoji3][emoji1787][emoji1787]Ni Ajabu sana, Wanawake wanataka Wanaume wakiwa na Hela wawathamini...
Na wakati Wanaume walipokuwa hawana Hela hawakuthaminiwa na Wanawake...
Mwanaume ambae hakuthaminiwa alipokuwa Fukara akipata Pesa ni ngumu kumthamini Mwanamke...
Jelaha la kidonda la huyo mwanamke, ambalo limeshindwa kupona kwà zaidi ya miaka kadhaa sasa...mpaka limekua cancerKidonda gani unaongelea mkuu?
[emoji2956]Ni Ajabu sana, Wanawake wanataka Wanaume wakiwa na Hela wawathamini...
Na wakati Wanaume walipokuwa hawana Hela hawakuthaminiwa na Wanawake...
Mwanaume ambae hakuthaminiwa alipokuwa Fukara akipata Pesa ni ngumu kumthamini Mwanamke...
Vijana wengi Wana umri mdogo lkn kichwani wamezeeka. Wanaiga maisha ya babu na bibi zao. Ndiyo maana ndoa zinavunjika hovyo.Na sisi vijana wa kizazi hiki unaoaje mwanamke ilihali hujasimama vyema kimaisha ?!!!
Maisha ya mwanaume yanaanza kuwa bora kutokana na uchumi wake bora.....
Unamkuta kijana amemaliza chuo kikuu na kupata ajira tu anatangaza kuoa....![]()
![]()
Ardhi zipo kisarawe....
Anaishia kupanga nyumba mpaka akiwa miaka 50.....
Seapiano 😅Ujataja aina ya subwoofer ila nalo litazamwe kwa ukaribu
Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha
Pesa ina-run mapenzi halafu mapenzi yana-run dunia. Kipi zaidi?Mapenzi yanabaki kua mapenzi na pesa inabaki kua pesa
Basi matajiri wangekua hawaachani kila kimoja kinajitegemea tuna mix tuPesa ina-run mapenzi halafu mapenzi yana-run dunia. Kipi zaidi?
Si ndio hapo sasa...Na sote sisi hatujawahi kuthaminiwa ulofani. ..tuanze vipi kubadilika?!!! [emoji3][emoji1787][emoji1787]
Dada acha ushauri.mwingi 🤣🤣🤣🤣Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.