Mwanamke ni kama ua, lisipotunzwa linapoteza mvuto kabisa. Hivyo usidanganyike kuolewa na mchovu akaanza kukulaza chini kwenye mkeka, mnakaa sakafuni, mnapikia kuni au jiko la mkaa mpk kucha zinajaa masizi.
Saloon unakuwa unazipita tu kama kituo cha polisi maana wewe nywele husuki bali unakata kama shamba boy. Na hukumbuki mara ya mwisho ulienda shopping mwaka gani.
Mafuta unajipaka ya kupikia mpk ukipita mtaani unafuatwa na mbwa wakidhani wewe ni kitoweo.
Ukicheza miaka yako 5 tu ktk mzunguko huu wa umaskini uliomaliza nao shule watakupiga shikamoo, maana utakuwa umefubaa, umechakaa na kuchoka. Sasa mpk mkayapate maisha miaka 10 au 15 utakuwaje??
Mkishayapata maisha mumeo lazima jicho lake litahamia kwa ving'asti ambao kucha zao hazijaathiriwa na mkaa. Sura zao zimetunzwa vema na lotion za Uturuki.
Hebu tafuteni wanaume wenye nazo ufikie kwenye maisha fulani ambayo hayatakufubaza. Achana na wenye subwoofer moja chumba kimoja cha kupanga halafu anataka ndoa na wewe.
Ni ushauri tu. Kama hutaki acha