iyo itakuwa kwenye jedwali la kwanza.....la viambatisho
Wababa watu wazima wakiwa wanatongoza wengi huwa hawakwambii direct wanachotaka. Tumia point hiyo kujifanya humuelewi anachotaka.
Kama kimeshakwambia direct kinataka nini mwambie akufanyie kitu ambacho unajua hatoweza na hapo ndio utamtorokea maana akikishindwa hakusumbui tena.
Wababa watu wazima wakiwa wanatongoza wengi huwa hawakwambii direct wanachotaka. Tumia point hiyo kujifanya humuelewi anachotaka.
Kama kimeshakwambia direct kinataka nini mwambie akufanyie kitu ambacho unajua hatoweza na hapo ndio utamtorokea maana akikishindwa hakusumbui tena.
Kisa cha kuchakachuliwa na mbaba wa miaka 60 vijana hawapo??? Siwezi kukubali bana sio fair
Umefikia uamuzi gani mshiki? Kama bado mi hii ni sababu nyingine ya kukutana na kunywa bia kumdiscus ka babu kachakachuaji!Mmmmmmh hata Tegeta hakujui huyu!!!
Kitu gani hicho? Kumwacha mkewe kwanza au? Maana unaweza kukuta mzee king'ang'anizi hata ukisema unataka kiwanja anakununulia!
Mmmmmmh hata Tegeta hakujui huyu!!!
Hii ni "for a long jump" ama?Ujumbe hapa ni kwamba hata kama sio yule wa tegeta, basi na huyu wa tegeta ni wale wale.......
(hebu njoo pm kdg)
Salamu kwenu wa dada wa JF, naomba kuuliza, hivi unapokutana na Mbaba mtu mzima labda miaka 60 hivi akakutaka kimapenzi unatoa jibu gani hasa ukiwa hukubaliani na matakwa yake?
Hasa pale inapotokea majibu yote ulionayo yy ana maswali yake.
Na maswali yote ulionayo yy ana majibu yake.
Vovote mradi imeeleweka muhimu kuwahiSaa tano ni mchana au asubuhi???
Mi naona lazima tukutane kaka, manake solution bado kabisa.
Nashukuru sana, kwa sababu mnawafahamu hawa vijana wa zamani walivyo>
Halafu cha kushangaza akikuona unaongea na mkaka tu, atakuazishia kosa hapo, adi utajuta.
Duuu, nliwahi kumwambia itakupeleka polisi.
Akajibu hivi, hata huko polisi wenyewe watasema sasa jamani huyu mzee angefanya nini??
Halafu kesi inaisha.
Hebu cheki na Teamo akwambie tupo wapi!Mi naona lazima tukutane kaka, manake solution bado kabisa.
Vibabu vya kizungu kwenu wadada vinaonekana vijana
Lakini vibabu vya kiafrika mnaviona vimezeeka
Kumbuka ng'ombe hazeeki maini, anazeeka bodi tu jaribu mziki wake uone.
Huyo babu kweli king'ang'anizi! Naona karibu utasalenda!
Mi naona lazima tukutane kaka, manake solution bado kabisa.
Hahahahhaha! Mkuu umepiga Ikulu, tena Ikulu ya Saddam! Halafu waambie kabisa, uzee unaanzia na kuishia Chalinze, hapa mjini hakuna mzee!