Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
haaaaa mie nawapenda hao wa 40's... hawana mapepe mengiHeehhehehe mim na shishi damu damu kwa watoto wabichiii hawa 40 sitaki bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaa mie nawapenda hao wa 40's... hawana mapepe mengiHeehhehehe mim na shishi damu damu kwa watoto wabichiii hawa 40 sitaki bana
mtu mwenye miaka 40 anawekwaje kundi la wazee lol
Nimeamini we si mtu wa mchezo mchezo unaiba hadi jina aaarghhh hupendagi ujingaSo what do you want? A cookie?
Nimeamini we si mtu wa mchezo mchezo unaiba hadi jina aaarghhh hupendagi ujinga
Absolutely... [emoji23] [emoji23]There you have your comic relief Friday.
It's beyond funny!
Hehehe sasa savana vipi nipo nakunywa hapa ,ukujeNaiba kila kitu...hadi mademu wa watu naiba.
Dinazarde ndo Nyani Ngabu na Nyani Ngabu ndo Dinazarde😀😀😀😀😀😀😀.
Hehehe sasa savana vipi nipo nakunywa hapa ,ukuje
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiswahili ndo kitanitoa kwenye kundi la washamba?
Ushamba wangu unakukosesha furaha au mlo?
Acha kujipendekeza.
Dah viziwa njanjambwiiiii!Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.
Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.
Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.
Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.
Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.
Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top
![]()
![]()
![]()
![]()
Siku hiz silewiiUshaanza kulewa?
Sasa we jamaa niliibaje jina lako wakati wewe ndo mimi na hiyo ID yako ya Ndjabu Da Dude ni ID yangu ingine tu?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Manake hata hapa najiongelesha mwenyewe tu.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nigga fcuuk you.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una shobo.
Nilihisi hiki kituhahahahahaha Jamaa una mambo ya kitoto sana wewe... Sasa kujiongelesha mwenyewe na kujijibu ili iweje??
Hivi ni lini utakuwa we dogo???
Nilisha ushtukia mchezo wake kitambo sanahahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.
Sasa leo ndio ananiacha hoi, kujitukana na kujijibu mwenyewe.. Ana multiple ID's mpaka nyingine ni za kike.. Kuna wakati anajifanya mwanamke kabisa na waweza fikiri hivyo. Hii habari ya kujichatisha na kujijibu mwenyewe ni kawaida yake kabisa.. Huwa anafanya hivyo kwa ID zake kadhaa ili watu wamwone ni Mmarekani na anajua kingrezaa..
Nilihisi hiki kitu