Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Mdada wa Kitanzania ndani ya Ralph Lauren

Status
Not open for further replies.
Nimeamini we si mtu wa mchezo mchezo unaiba hadi jina aaarghhh hupendagi ujinga

Naiba kila kitu...hadi mademu wa watu naiba.

Dinazarde ndo Nyani Ngabu na Nyani Ngabu ndo Dinazarde😀😀😀😀😀😀😀.
 
Mimi na bi mdogo ni wapenzi sana wa nguo na vitu vya Ralph Lauren kwa ujumla.

Sasa jana katika pitapita yetu kwenye duka lake [Ralph Lauren] wakati tukitafuta nguo za majira ya Fall tukakutana na picha za Flaviana Matata akiwa katika pozi mbalimbali za matangazo ya nguo za kike.

Nilifurahi sana kuona mdada wa Kitanzania akiwa ndani ya mwamvuli wa Ralph Lauren.

Huenda tayari wengine mnalijua hilo lakini kwangu ndo ilikuwa mara ya kwanza kumwona akitangaza bidhaa za RL.

Safi sana mdada. Wewe endelea kupiga kazi na kuwakilisha. Utafika mbali sana.

Bofya hapo kuona zaidi Silk Sleeveless Top


20161011_RLNA_Lrnshine_3.jpg
pPOLO2-24767905_alternate2_v400.jpg


pPOLO2-24767905_alternate1_t50.jpg
pPOLO2-24767905_alternate8_t50.jpg
Dah viziwa njanjambwiiiii!
 
Anakula chakula huyo mwanamke, au chakula chake ni biskut na bisi...mbona kadhoofika hivyo...
 
Sasa we jamaa niliibaje jina lako wakati wewe ndo mimi na hiyo ID yako ya Ndjabu Da Dude ni ID yangu ingine tu?

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Manake hata hapa najiongelesha mwenyewe tu.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Nigga fcuuk you.

Una shobo.
 
hahahahahahaha huyu dogo ni kama ana ukichaa fulani... Nadhani huko aliko hana marafiki, no outing, no nothing. Ni JF ndiyo inamkeep company. Ndio maana anajitangazia dhahiri ana maadui humu. His life is all about JF dramas.

Sasa leo ndio ananiacha hoi, kujitukana na kujijibu mwenyewe.. Ana multiple ID's mpaka nyingine ni za kike.. Kuna wakati anajifanya mwanamke kabisa na waweza fikiri hivyo. Hii habari ya kujichatisha na kujijibu mwenyewe ni kawaida yake kabisa.. Huwa anafanya hivyo kwa ID zake kadhaa ili watu wamwone ni Mmarekani na anajua kingrezaa..
Nilisha ushtukia mchezo wake kitambo sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom