dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.