Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

Mdada wewe mwenye passo T..... DDR

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
sikujui kwa jina ila naijua namba ya gari yako tu,
Najaribu kuwa karibu naawe, unanipotezea.
nakuwashia taa barabarani unanichunia,
na kule senta flani nako ulikuwa unanikaushia,
leo harusini uliongozana na jamaa,
naomba tu asiwe mumeo, i hope ni kakako.
upatapo ujumbe huu pls nijulishe yule jamaa ni kakako.
 
Hahha+aha hiki cha malawi kabisa sio Arusha
 
Jitoe mhanga Ku sacrifice for ua love

Love ama nyege mshtuko!???

4371414.jpg
 
Hakika unahitaji maombezi ya ufufuo eewe mtoa mada
 
Back
Top Bottom