Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Miguna miguna kufanya nae mdahalo inabidi unywe panadol kwanza
 
Nakumbuka aliwahi kumuita Esther Passari 'Socialite bimbo' kwenye JK Live
Na hiyo ndio ilikuwa show ya mwisho kipindi cha Jeff Koinange live kikafutwa rasmi sababu ya scene kama hizo jumuiya ya haki za wanawake walisema hazikutakiwa kuruka aidha kipindi kingekatwa au debate isitishwe ila kwa uhalisia Esther Passaris ndio alianza ad hominem attacks kwa Miguna alipojibiwa ndio ikaonekana kaonewa.
 
Dah! Lisu jasiri sana,Koo alitakaa akabishanee na Mbowe live bila chengaa na anavyootoaga machoo. Bora Jamaa kahepaa maana ni aibuu kingemzidii tu hojaa maana kibishii.
 
Hili Tangazo linasema mdahalo ni SUTURDAY 17/1/2025. ( tarehe na siku zinapishana)..

Halafu wewe unasema ni leo Friday 17/1/2025. Which is which..?

Inakuwaje Odemba anafanya makosa ya wazi kiasi hiki kama vile taarifa na matangazo ambayo hutolewa na Polisi hukosewa..!!
 
Kwa Mbowe kutokuhudhuria mdahalo huu utampunguzia sana kura. Inaonekana ana woga fulani.
Mbowe amehojiwa na mwananchi news anajitapa kwamba yeye anaenda kushinda, muda utasema.Wajumbe wajitaidi...kutuletea lissu, nje ya hapo....
 
Ila vijana wa ccm ni wajinga sana aisee ndo nn hii umeandika??
Ukitaka kujua mwanaCCM muite kwenye mdahalo..
Yaan hata umbebe na defenda wa polis Kwa nguvu Bora aruke ikiwa spid 120
 
Hii paragraph ya mwisho hata wewe hufanya humu.
Hahaaa
 
Mbowe ni Mwenyekiti na ataendelea kuwa Mwenyekiti.

Baada ya uchaguzi Lissu atakwenda kipiga magoti kwa Mwamba.
 
Mbowe usi shiriki huo mdahalo.
Mdahalo wakati uchaguzi upo tarehe 21

Mdahalo upo ijumaamosi tarehe 18 sio 17. Hata tangazo limekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…