Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.

Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp namba 0766662533 na waje na vitambulisho vyao, mwisho wa kuingia ukumbini ni saa mbili kamili usiku.

Pia soma: - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

NB: Mpaka muda huu wagombea waliothibitisha kushiriki mdahalo ni hao wawili wanaonekana pichani, KARIBUNI SANA.
Kwamba FAM kala kona 😂😂😂😂😂 nabubujikwa na machozi ya huzuni mimi Lucas Mwashambwa mkulima wa majani 😂😂😂😂
 
Litakuwa ni kosa Sana kwa mbowe kutoshiriki mdahalo huu, niwaombe team mbowe wamshauri boss wao ashiriki.Sio utamaduni wa wanachadema kukimbia midahalo
 
Mbowe mambo kama haya ya kuvuliwa nguo hadharani hayapendi, yeye anataka afuatwe nyumbani kwake na waandishi ambao anawagharamia na kuwalipa posho kisha kuwapangia Maswali gani aulizwe
Yaani nawaonea huruma Sana team mbowe, ndo maana kitila amesema kwa uchaguzi wa chadema wamepata point nyingi za kuipiga chadema, mbowe kaongeza ya kususa mdahalo
 
Mbowe kama hatashiriki leo huu mdahalo maana yake ni kama wale wa ccm ambao hawataki hivi vitu vya mdahalo, sasa tumueleje kama anataka kutuongoza halafu hataki kuhojiwa?
Yaani mbowe akienda kwenye mdahalo itakua Kama AFANDE KINGAI VS KIBATALA 😊☺️

NJIA PEKEE YA MBOWE NI KUKIMBIA MDAHALO 🏃🏃🏃
 
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.

Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp namba 0766662533 na waje na vitambulisho vyao, mwisho wa kuingia ukumbini ni saa mbili kamili usiku.

Pia soma: - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

NB: Mpaka muda huu wagombea waliothibitisha kushiriki mdahalo ni hao wawili wanaonekana pichani, KARIBUNI SANA.
Aliyesikiliza ua kusikia ushauri wa Prof,Kitilia,anaelewa kuwa huu ni ujinga wa Degree
 
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa CHATO DSM, Ghorofa ya pili.

Kwa wanaotaka kuhudhuria mdahalo huo watume majina yao kupitia Whatsapp namba 0766662533 na waje na vitambulisho vyao, mwisho wa kuingia ukumbini ni saa mbili kamili usiku.

Pia soma: - Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa

NB: Mpaka muda huu wagombea waliothibitisha kushiriki mdahalo ni hao wawili wanaonekana pichani, KARIBUNI SANA.
Mwamba kaona bora lawama kuliko fedhaha.
Tena mbaya sana fedheha uletewe na mtu uliyemlea mwenyewe
 
Back
Top Bottom